Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda watakuwa na the biggest GDP ikiwa mtachelewa kucommercialise mafuta au Natural gas yenu. Nyie huwa mnafanya vitu polepole so sitashangaa mkipitwa. Kenya sisi tukipitwa angalau tuna excuse. Tutasema kuwa Mungu hakutubariki na natural resources.
We better be slow..and not fast track kama vitu haviko kwenye intrest yetu..alot of investors..wana invest wakitaka super profit na kuinyonya Tz..sasa kama intrest zetu hazijafikiwa so no need ya ku rush..
Tuna Gas Off shore bado kuwekewa LNG we have been negotiating over 4 yrs if not 5 na litaendelea kuwa slow ..hadi goverment ione Tz itanufaika

Tulirush miaka ya nyuma kwenye madeal ya madini kama Dhahabu na Tanzanite...ikabidi tuanzw ku renegotiate Magu alivyoingia..maana mataifa including Kenya walikuwa wanatucheka kwa kuliwa..so no longer room for mistakes..

We still have resources tutazobenefit kubwa mbilu ni.
Iron at Liganga
Natural Gas..

Hizo ni sehemu mbili Tz haitaki ikosee tena kwa kunufaisha wawekezaji kuliko wananchi
 
Hii pipeline ndio naweza sema mmetupiga 10-0. Hatuwezi kujibu mapigo. Nilidhani hii pipeline haitajengwa ila dalili zimeanza kuonekana. The best 007 tafadhali usiende kuita Wakenya kwenye comment yangu. soma hii comment bila kupata mshtuko wa moyo.
Naamini hata Mr President itakuwa inamuuma sana!!! Nakumbuka kipindi kile alikimbia France kuona kama ataweza kuokoa Jahazi,alijitahidi kupambana haikuwa riziki yenu.Inauma kupoteza mradi mkubwa kama huu.
 
Cha ajabu huyu jamaa Tony254 anadai tuko polepole tumezubaa lakini hajui tupo strategic pia! Ati, hajui pia sababu ya reli yao ya SGR kukwamia Naivasha!? Kiufupi kama Tanzania isingejenga alternative superior SGR na nafuu Museveni asingeigomea SGR Malaba-Kampala!
 
Hapo ndipo ninapowasifia wakenya, ninyi lazima mtafute sababu ya kuhalalisha kushindwa kwenu, hamkubali mapungufu yenu na kuishi kulingana na uwezo wenu, ninyi mnadhani mpo vizuri kushinda nchi zingine wakati ukweli ni kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi za hovyo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
bitter loser attitude!
 
Cha ajabu huyu jamaa Tony254 anadai tuko polepole lakini hajui tupo strategic pia!
Sana ila wameanza kuelewa!Hata wao wanajua fika Tanzania ndo baba lao hapa Mashariki ya Afrika,Tuna kila kitu cha kuwa hivyo the chosen one,Hata ndg yetu Tony akija Tanzania anainjoi sana ni mbishi mbishi tu humu JF 😂😂
 
Sana ila wameanza kuelewa!Hata wao wanajua fika Tanzania ndo baba lao hapa Mashariki ya Afrika,Tuna kila kitu cha kuwa hivyo the chosen one,Hata ndg yetu Tony akija Tanzania anainjoi sana ni mbishi mbishi tu humu JF
It seems tony hakuwa anaijua vizuri Tz ila kupitia Jf kuna kitu amejifunza na ss haamini tena km kenya iko mbele ya Tz na co yeye tu bali Wakenya wengi kwa sasa huwezi waongopea tena na ndiyo maana jubilee inapata tabu sana cz wananchi wanataka yanayofanyika Tz yafanyike pia kenya mana wakiangalia gdp wazungu wamewaweka wao mbele ya Tz lkn wanajiuliza mbn linapokuja suala la projects za kiuchumi tumewaacha mbali? Hapo wanakosa majibu na ndipo wanapokubali kwmb Tz ya ss co ya juzi.
 
Uganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Hilo haliwezekani kamwe! 😂😂., 10 years! Maybe they grow at a pace ya 15%., na Tz iwe imesimama😂😉😂😉😂 Ug has a small GDP less than $35B I guess., maybe they outgrow Tz in populace par capita wealth n GDP par capita due to smaller population., Uganda has a chance to become a "Sweden" which developed from oil revenue with superb standards of living, though its gdp is not near giant economies of Europe.
 
It seems tony hakuwa anaijua vizuri Tz ila kupitia Jf kuna kitu amejifunza na ss haamini tena km kenya iko mbele ya Tz na co yeye tu bali Wakenya wengi kwa sasa huwezi waongopea tena na ndiyo maana jubilee inapata tabu sana cz wananchi wanataka yanayofanyika Tz yafanyike pia kenya mana wakiangalia gdp wazungu wamewaweka wao mbele ya Tz lkn wanajiuliza mbn linapokuja suala la projects za kiuchumi tumewaacha mbali? Hapo wanakosa majibu na ndipo wanapokubali kwmb Tz ya ss co ya juzi.
😂😂😂😂Kenya iko mbele ya Tz by far hilo liko wazi😂😂 ndio mmeamka mnadhani mmefika😂😂😂 yenu nikuzunguka zunguka Dar. None of your major project is yet to yield fruit. Yaani unahesabu vifaranga kabla ya kuku kuangua😂😂😂😂., kijana uko na uzalendo kipifu kweli😂😂.,
And besides Africa is growing Kenya dousnt give a *** about Tz at all!😂😂😂 fikra zenu ziko wapi?? eti wakenya blah blah blah😂😂😂 watu huku wako busy on how Kenya should be run, with several projects going on kimya kimya.😂😂😂 Tanzanians u will kill me with your cheap obsession on Kenya, (the country ahead of you). Omba tusimame kabisa ili Tz ipiku Kenya basi, naona ndio raha yako😂😂 halitatokea in this generation ever!! Take it to the bank.
 
Hilo haliwezekani kamwe! ., 10 years! Maybe they grow at a pace ya 15%., na Tz iwe imesimama Ug has a small GDP less than $35B I guess., maybe they outgrow Tz in populace par capita wealth n GDP par capita due to smaller population., Uganda has a chance to become a "Sweden" which developed from oil revenue with superb standards of living, though its gdp is not near giant economies of Europe.
Hicho ndicho kinatakiwa na co kelele za gdp wkt maisha ya wananchi ni mabovu, wananchi hawali gdp, hawavai gdp, hawapandi gdp, bali better social amenities.

Huwezi niambia habari za gdp kubwa alafu maisha hovyo na ndipo tunapoiita gdp ushuzi km hyo yenu.
 
Kenya iko mbele ya Tz by far hilo liko wazi ndio mmeamka mnadhani mmefika yenu nukuzunguka zunguka Dar. None of your major project is yet to yield its fruit. Yaani unahesabu vifaranga kabla ya kuku kuangua., kijana uko na uzalendo kipifu kweli.,
Nimekuambia hv watu hawali, hawavai, wala kupanda gdp.
 
Slow but sure with MNC any African country has to be careful mzee! Barrick negotiations took over 3 years! To us if our interests r not covered then let the gas stay undergroundas local and regional commercialized keep growing before that LNG for overseas export! There r plenty of investments we can do ourselves for our local n the region at large while negotiations keep dragging. Uganda has already committed to our gas for her crude oil and steel industries while Kenya will slowly come on board when the gas pipeline from Dar reach Tanga.
Sisi hatujagoma kununua gesi yenu. Nyie jengeni pipeline, sisi tutaunga tu.
 
Kenya iko mbele ya Tz by far hilo liko wazi ndio mmeamka mnadhani mmefika yenu nukuzunguka zunguka Dar. None of your major project is yet to yield its fruit. Yaani unahesabu vifaranga kabla ya kuku kuangua., kijana uko na uzalendo kipifu kweli.,
GDP ni upuuzi mtupu usio na tija unakuta nchi ina gdp kubwa lkn on ground ni upuuzi mtupu mfano Nigeria inazd SA kwa gdp je Nigeria iko mbele ya SA?
 
Sisi hatujagoma kununua gesi yenu. Nyie jengeni pipeline, sisi tutaunga tu.
Aaaah, wapi!!!, ninyi hamuaminiki, kila kitu mnategemea mikopo, tunaweza tukajenga hadi mpakani lakini ninyi mkakosa mkopo wa kuunganisha matokeo yake bomba likaishia porini kama SGR.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Aaaah, wapi!!!, ninyi hamuaminiki, kila kitu mnategemea mikopo, tunaweza tukajenga hadi mpakani lakini ninyi mkakosa mkopo wa kuunganisha matokeo yake bomba likaishia porini kama SGR.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo nilitaka nimjibu hvyo hvyo kenya bhn wababaishaji sn, yn kenya kwa huu mwendo wao hawatokuja kuwa developed country km hawatabadili hii tabia
 
Back
Top Bottom