Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama ni hivyo basi mbona nyie Wabongo hamjachangamkia fursa hio? Niko 100% sure kama Kenya ingekuwa inapakana na sehemu tajiri kama hio tungewatawala hao watu sana. Tungefanya nao biashara kwa wingi tu. Hata tungeunda meli nyingi zamani tu na kutrade na wao. Barabara pia ingetandikwa zamani tu. Sasa nyinyi siwaelewi hata kidogo. Mbona mnazubaa sana?
Mmeshindwa kuweka barabara kwenda Somalia na Sudan kwenye utajiri mkubwa wa mafuta mtaweza kujenga meli

Rais mzima amebaki kufake kilometres za lami eti mna kilometres 25k wakati ni less than 11k 🚮🚮🚮

Hamuwezi chochote zaidi ya ukabila na ufisadi, Kenya ni hovyo ndio maana hamuwezi kujilisha mnategemea vyakula vya msaada
 
Leo nimemsikia ndg Masanja Kadogosa akisema reli yetu ya sgr itakuwa fenced na pia treni zitakazo letwa ni EMU, so wale waliokuwa na shaka kuhusu fence na aina ya treni waondoe shaka rasmi.

Alikuwa akiongea kupitia kituo cha Wasafi fm mda c mrefu.
 
Kwanini hadi leo hamjajenga barabara ya lami kuunganisha na South Sudan kwenye utajiri mkubwa wa Mafuta na mkafanya nao biashara?. Tatizo lenu ni kujipa uwezo ambao hamna.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha mkuu nimecoment hivihivi hata kabla sijaona hii post yako 😅😅😅

Kumbe tumefanana mawazo
 
Mmeshindwa kuweka barabara kwenda Somalia na Sudan kwenye utajiri mkubwa wa mafuta mtaweza kujenga meli

Rais mzima amebaki kufake kilometres za lami eti mna kilometres 25k wakati ni less than 11k 🚮🚮🚮

Hamuwezi chochote zaidi ya ukabila na ufisadi, Kenya ni hovyo ndio maana hamuwezi kujilisha mnategemea vyakula vya msaada
Endelea kukariri wimbo wa chekechea
 
Hivi ndivyo media zenu huwadanganya kuhusu nchi zingine za Africa ila napenda sasa hivi mmeanza kufunguka ubongo kidogo kidogo.
Juzi kwenye kikao chao viongozi wao waliishia kusifia Tz na mda c mrefu wataanza kusifia infrastructure zetu, tunataka viongozi wao waanze kusifu cz wananchi tushachoka nao
 
Humu jamiiforums wakenya hawana uhuru wa kukosoana wenyewe kwa wenyewe na ndio maana hata wakiona mwenzao anapotosha au kudanganya hutoona wakimsahihisha zaidi ya kujitokeza kumsaidia kupotosha na kudanganya

Mkikuyu- Akili timamu huwa anawapiga spana ila tayari walishampa uraia wa nchi nyingine.
Akili Wazimu si ni Mtanzania mwenzenu.
 
South Sudan ni shit-hole zaidi ya DR. Congo
Hapo ndipo ninapowasifia wakenya, ninyi lazima mtafute sababu ya kuhalalisha kushindwa kwenu, hamkubali mapungufu yenu na kuishi kulingana na uwezo wenu, ninyi mnadhani mpo vizuri kushinda nchi zingine wakati ukweli ni kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi za hovyo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo ninapowasifia wakenya, ninyi lazima mtafute sababu ya kuhalalisha kushindwa kwenu, hamkubali mapungufu yenu na kuishi kulingana na uwezo wenu, ninyi mnadhani mpo vizuri kushinda nchi zingine wakati ukweli ni kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi za hovyo sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahaha
 
Uganda wanapiga mzigo taratibuu South Sudan!
 
Humu jamiiforums wakenya hawana uhuru wa kukosoana wenyewe kwa wenyewe na ndio maana hata wakiona mwenzao anapotosha au kudanganya hutoona wakimsahihisha zaidi ya kujitokeza kumsaidia kupotosha na kudanganya

Mkikuyu- Akili timamu huwa anawapiga spana ila tayari walishampa uraia wa nchi nyingine.
Hayo ndio maisha ya wakenya tangu walipopata Uhuru wao, yaani lazima awepo mtu mmoja ambaye ndiye anayefikiria watu wa jamii yake, ukimpinga unaitwa msaliti wa jamii hiyo na unastahili kuuliwa.

Ukambani alikua ni Kalonzo Musyoka, Ujaluoni ni Raila, Ukikuyu ni Kenyatta family, Kalenjin ni Moi Family, Luhya wao hawana umoja bado.

Back
Top Bottom