Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Tanzania signed EACOP Host Government Agreement with Total
Speed mnayokuja nayo saa zingine huwa inatisha lakini fahamu kuwa sisi nyang'au hatuogopi ushindani.
Tanzania signed EACOP Host Government Agreement with Total
Na Msiogope kushindwa pia! By the end of this year FID itatangazwa!Speed mnayokuja nayo saa zingine huwa inatisha lakini fahamu kuwa sisi nyang'au hatuogopi ushindani.
Haikuwa ikitumika kwa takriban miaka ishirini. Kitu chochote kisipotumika kwa muda huo lazima kitaharibika. Majengo yalikuwa yamezeeka na yalihitaji ukarabati. Kulifanywa dredging kwa sababu kina cha maji kwenye port kilikuwa kimepungua. MV Uhuru pia ilifanyiwa ukarabati.
Sidhani kama wapo karibu tena siasa za COVID19 zimeleta uadui! Jaribu kuskiliza speech za JPM zinakandia handshake!Hio speech ya Raila ni nzuri. Raila na Magufuli ni marafiki wa jadi.
Hii pipeline ndio naweza sema mmetupiga 10-0. Hatuwezi kujibu mapigo. Nilidhani hii pipeline haitajengwa ila dalili zimeanza kuonekana. The best 007 tafadhali usiende kuita Wakenya kwenye comment yangu. soma hii comment bila kupata mshtuko wa moyo.Na Msiogope kushindwa pia! By the end of this year FID itatangazwa!
Nadhani Covid ni uhasama kati ya Uhuru na Magufuli. Raila hana wadhifa wowote serikalini.Sidhani kama wapo karibu tena siasa za COVID19 zimeleta uadui! Jaribu kuskiliza speech za JPM zinakandia handshake!
Ohk ngoja tuone inauguration is around the corner. Nangoja scores zingine on 25th November when SGR Mwanza-Isaka is to launched!Nadhani Covid ni uhasama kati ya Uhuru na Magufuli. Raila hana wadhifa wowote serikalini.
Huyo mwenye meli anajihusisha na shughuli gani kubwa? Curious to know sababu hiyo meli si chini ya billion 250, lazima atakua na mpunga mkubwa sana wa maana.i mean that is his whatsapp status... kuna watu (sio humu) wanapotosha mtandaon kuhusu hio meli na wenye meli.. nikijaribu kuwaweka sawa wanasema mim sijajui hata wahusika![]()
Sio huyo raila alisema Magufuli anashauriwa vibaya washauri wake wanapotosha kwenye kuongoza Taifa kuhusu Corona?Nadhani Covid ni uhasama kati ya Uhuru na Magufuli. Raila hana wadhifa wowote serikalini.
Wacha kuropoka! Ati nn? Tshs 250bln!? Seriously? Ni cruise ship? Ile meli i give it Tshs30-60 bln! Just like any pontoon ship of that type and since everything was done in DRC the price can even be lower! Ofcourse still a price most of us cant afford! Big up to the owner!Huyo mwenye meli anajihusisha na shughuli gani kubwa? Curious to know sababu hiyo meli si chini ya billion 250, lazima atakua na mpunga mkubwa sana wa maana.
Hahahaha lakini ile ni kubwa sana kubeba watu 600 na mzigo tani 2500 sio ndogoWacha kuropoka! Ati nn? Tshs 250bln!? Seriously? Ni cruise ship? Ile meli i give it Tshs30-60 bln! Just like any pontoon ship of that type and since everything was done in DRC the price can even be lower! Ofcourse still a price most of us cant afford! Big up to the owner!
Kwani mtu mmoja ana uzito gani? Give it 100 kg *600 = 60 tons! 60tons +2500 tons =2560 tons! I estimate to be a 3000 tons cargo ship! Kuna ya cargo 3500 tons yaja!Hahahaha lakini ile ni kubwa sana kubeba watu 600 na mzigo tani 2500 sio ndogo
Kwani DR Congo wameanza kuunda meli? Maajabu ya Musa haya.Wacha kuropoka! Ati nn? Tshs 250bln!? Seriously? Ni cruise ship? Ile meli i give it Tshs30-60 bln! Just like any pontoon ship of that type and since everything was done in DRC the price can even be lower! Ofcourse still a price most of us cant afford! Big up to the owner!
Mlimani City Tanzania
Ila meli ipo registered DRC? Au?
Kwani DR Congo wameanza kuunda meli? Maajabu ya Musa haya.
Kitu ninachofurahia ni kwamba, siku hizi ile mijadala ya chuki na kukwaruzana hapa JF imepungua sana, sasa hivi unaweza kuona jinsi watu wanavyoweza kubadilishana maoni tofauti toka pande zote mbili.Hii pipeline ndio naweza sema mmetupiga 10-0. Hatuwezi kujibu mapigo. Nilidhani hii pipeline haitajengwa ila dalili zimeanza kuonekana. The best 007 tafadhali usiende kuita Wakenya kwenye comment yangu. soma hii comment bila kupata mshtuko wa moyo.
Nenda Eastern DRC ukajionee jinsi kulivyochangamka, makampuni kutoka South Afrika na wachena yamevamia kwa wingi sana.Kwani DR Congo wameanza kuunda meli? Maajabu ya Musa haya.