Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,878
- 103,739
Tanzania signed EACOP Host Government Agreement with Total
Hawa jamaa wanatuheshimu na kutupenda sanaWakenya mbona mnatuteta bila kibali?
Maandiko yatatimia tu watake wasitakeWakenya mbona mnatuteta bila kibali?




Hizo picha ni kabla ya ufunguzi! Punguza ufala mwingi Zanzibar airport ina PAX wengi zaidi ya Mombasa airport!Ni hatari lakini naona bado haijaanza kufanya kazi. Hakuna abiria.
Nani mtoto wa MD sasa?
Kwa bei hiyo mtamuweza kweli JPM akizindua zake Lake Tanganyika? Maana ya abiria itakuwa kama Mv Mwanza!sijahusika kweny kupanga bei.. waliohusika wana vigezo vyao au wameshafanya survey ndo mana wameweka hio bei! mpka ninakuja huku nilikuwa sijui hata bei
Nani mtoto wa MD sasa?

Kwa bei hiyo mtamuweza kweli JPM akizindua zake Lake Tanganyika? Maana ya abiria itakuwa kama Mv Mwanza!
Kwa hiyo mitumba yenu ya commuter train nayo sura mbaya!Yetu ni ya diesel. Hakuna train ya diesel sura nzuri. Tukiweka umeme basi treni zetu zitakuwa na sura nzuri.
Naona mko busy in election mood 2 years before 2022 to an extent one can be confused btn Tanzania and Kenya. Imagine tuna-sign mega deals during election a sign of trust by MNC towards our systems.This is good. Hapa sasa ndio mnapiga hatua. Sio domo domo, tunataka action kama hii. Nyie mnapenda domo sana. Hii action ndio iko sawa.
Ila meli ipo registered DRC? Au?i mean that is his whatsapp status... kuna watu (sio humu) wanapotosha mtandaon kuhusu hio meli na wenye meli.. nikijaribu kuwaweka sawa wanasema mim sijajui hata wahusika![]()