Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

C46CFAE5-833E-454A-8160-307B9BA692C7.jpeg

B918FBA2-B545-41E3-BFF5-E268DB452A49.jpeg
 
Ukiufuatilia huu mgogoro ulivyo, hata AU pia itakubaliana na Egypt, Ethiopia waneonyesha Kiburi cha hali ya juu sana, ni sawa na Joyce Banda alivyotoa kibali kwa makampuni ya kutafuta gas duniani kuja kutafuta mafuta Mbamba bay na maeneo mengine ya Tanzania bila kutushirikisha akijua wazi kwamba mazungumzo ya upatanishi kati ya Tanzania na Malawi bado hayajafika mwisho.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwa
 
Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwa
Hapana mkuu, katika hili tusiwe wabaguzi na ukweli usemwe. Ethiopia ni wakorofi sana na wabastahili kupata adhabu. Huu mto upo chini ya dhamana ya umoja wa mataifa kwa mujibu wa sheria za kimataifa zinazohusu umiliki na matumizi ya maji yanayohusisha nchi zaidi ya moja.

Katika sheria hiyo inakataza nchi moja kufanya matumizi yoyote ya maji ya kimataifa ambayo yanaweza kuleta madhara katika nchi husika bila kukubaliana na nchi zingine zenye maslahi katika maji hayo, mkishindwa kukubaliana, lazima hilo shauri lipelekwe ICJ kama walivyofanya Somalia na Kenya.

Ethiopia hawataki kufuata hizo taratibu badala yake wanaamua kufanya vile wanavyohisi inafaa kwa upande wao na faida kwa wananchi wao hata kama itasababisha vifo na njaa kwa wamisri, hiki kiburi cha Ethiopia dawa yake ni Jeuri ya Egypt.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ila mkuu nafikiri jambo lingine hapa ni Caucasian kutokubali sub-Saharan kuwa na mamlaka juu ya resource inayotegemewa na Caucasian. Wanadai hili bwawa litawapa Ethiopia control kubwa
i hope u r not classifying Egyptians as caucasian! Mi nachojua vita ikizuka kati ya hawa jamaa ISIS wanapata makazi mapya EA!
 
ichoboy01 Naton Jr The best 007 Ntaghacha toptorn babayao255

Na wengine wengi
I really appreciate you guys Mungu awabariki Sana
Naipenda sana Nchi yangu Tanzania na naukubali Sana utendaji kaz wa Raisi MAGUFULI, Kwa pamoja Tujenge nch yetu

Ndugu yangu frani alibahatika kuishi China ananiambia tangu akae kule hajawahi sikai Mchina analalamika juu ya Nchi yao They are so proud of their Country

One Love Brothers
 
ichoboy01 Naton Jr The best 007 Ntaghacha toptorn babayao255

Na wengine wengi
I really appreciate you guys Mungu awabariki Sana
Naipenda sana Nchi yangu Tanzania na naukubali Sana utendaji kaz wa Raisi MAGUFULI, Kwa pamoja Tujenge Mchicha yetu

Ndugu yangu frani alibahatika kuishi China ananiambia tangu akae kule hajawahi sikai Mchina analalamika juu ya Nchi yao They are so proud of their Country

One Love Brothers
Pamoja sana mkuu, unajua WaTz wengi walikuwa wanakerwa na ubinafsi wa viongozi mpk ikafikia hatua wakawa wanasema ni heri kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuwa mTz but nowadays mambo yamebadilika WaTz wengi wanapenda nchi yao naona wengine hususan kina dada culture mkononi zenye rangi ya Tz yn saafii kabisa, imeonekana kumbe hata bendera yetu ina rangi za kupendeza.

Zamani ilikuwa ni rahisi kuona mTz kavaa culture mkononi ikiwa na rangi za bendera ya USA au hata Kenya, hili jambo lilikuwa linaniuma sn binafsi yn kwmb imefikia kipindi watu wanadharau nchi yao kisa viongozi? Iliniuma sana aisee but now heheheheheeee WaTz wameamka na raisi tuliye naye anazd kupandisha thamani ya WaTz World wide, WaTz wa diaspora now hawajisikii aibu kutambulisha uraia wao yn safi kabisa.

Hawa watz wachache wa humu Jf na kwengineko unaowaona wanaponda nchi yao ni mambo ya kisiasa tu lkn ukweli wanaujua kwmb nchi imebadilika sema chuki wivu na usiasa mwingi.

Nasubiri kwa hamu kubwa miaka mi3 au mi5 ijayo inshallah tutawazwe km Super power wa East and Central of Africa
 
Back
Top Bottom