vp hiii ukikumbuka au??πππππAma wacha nikusaidie,
Kati ya hzo pichwa umeleta nakujisifia ya kwamba ndio suburb kubwa mwanza..
Ni gani hapo[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1610020View attachment 1610021
usinambie hii ulisahauππππππAma wacha nikusaidie,
Kati ya hzo pichwa umeleta nakujisifia ya kwamba ndio suburb kubwa mwanza..
Ni gani hapo[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1610020View attachment 1610021
vp ulikumbuka nsumbaπππππAma wacha nikusaidie,
Kati ya hzo pichwa umeleta nakujisifia ya kwamba ndio suburb kubwa mwanza..
Ni gani hapo[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1610020View attachment 1610021
Aawapii hao wengine wana direct flights from Dar kwavile kuna nyomi at destination kwa Bukoba airport hilo halipo uwanja capacity yake ni 500,000 PAX per year ila number of PAX haijafika hata 100,000.Sasa hiv mambo yamebadilika pia.
Bukoba airport ipo Kati ya top five domestic airport na routes Kwa Tanzania.
Tazama hapaView attachment 1610146View attachment 1610147View attachment 1610148View attachment 1610149View attachment 1610150
kumbe umetumana picha za mitaa yote mwanza hakuna estates za upper class hko[emoji23][emoji23][emoji23]sina muda wakubishana na mpuuzi
u mean this or???[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
unataka jina la hii au???
na siku utapata suburb kubwa kama hii mombasa mm nafunga acc jamii forun mark my words
View attachment 1610188View attachment 1610189View attachment 1610190View attachment 1610191View attachment 1610192View attachment 1610193View attachment 1610194View attachment 1610195View attachment 1610196
Top five airport inaweza kuwa kwa uzuri! Uki-rank hiyo list kwa number of passengers, utaona haipo na usilazimishe mambo kwa mwaka 2019 Bukoba Airport imepokea PAX 53,000 check facts! Hata kwa viwanja vya ndani (local) Bukoba ipo nyuma ya Mwanza, Arusha, Pemba na Dodoma! BTW sina uhakika kama Air Tanzania inaenda Bukoba daily!Sasa hiv mambo yamebadilika pia.
Bukoba airport ipo Kati ya top five domestic airport na routes Kwa Tanzania.
Tazama hapaView attachment 1610146View attachment 1610147View attachment 1610148View attachment 1610149View attachment 1610150
Tayari mlizikanusha hizi habariWala usijali, ataenda tu na atahutubia wananchi. Na kuhusu hao wahuni tunawasambaratisha na wanasahaulika kwenye uso wa dunia milele
Wakenya mnahangaika sana haitowasaidia kamwe,dah kweli MaguMagufuli ni mwizi
Utaiombea sana mabaya Tanzania,unaonekana moyo unavyokuuma sana ,hiki ni kitu kidogo sana watu wanatafuta mbinu za kuleta tension na kuwajazia uwoga wananchi wa Tanzania kitu ambacho wamefeli,sisi tuko na amani yetu nenda Mtwara hata sasa hivi, nobody even cares,laiti kama ingekuwa serious ungeona midege ya kivita ya kutosha tu pia na vishindo vya mabomu kusini huko,hali ni shwari nchini kwetu Tunamshukuru Mola kwa hili,poleni majirani uchaguzi hauko mbali nyie huwa hamchelewi kuzichapa wenyewe kwa wenyewe dhambi ya ukabila Kuna pahali jeshi la Kenya ndani ya Kenya huwa halitii mguu....Nenda huko kaskazini,huo ni udhaifu mkubwa sana. Amiri Jeshi mkuu wetu hawezi kukubali ujinga kama huo.Sijutii kuwa Mtanzania the Eden,Nchi yangu nakupenda sanaCheka tu πππ ila saa hii wembe ni Ule Ule
Wanajeshi wa magufuli wanachinjwa na Magaidi wa msumbuji duh ππππ
Mnaficha habari munadhani dunia haitajua ππππ
Hahahahaππππ hamuezi kubali najua hivyo wakati mwingine magaidi wakibisha tena mufiche habari vizuri πππ
Unafikiria nairobi ni km dar eti ukitoka CBD ni unakatiza uswazi[emoji23][emoji23]sijui hata tunashindana nn na hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] alaf hapo nusu area ni forest
View attachment 1610224View attachment 1610225View attachment 1610226View attachment 1610227View attachment 1610228View attachment 1610229View attachment 1610230
Hawa jamaa wako mbali sana na mahali tulipo mbali sanaThe 55 km long Hongkong, Zhuhai and Macao bridge
Hii distance ni zaidi ya mara mbili Dar-Zanzibar! Kuna watu Likoni bridge (less than 1km) limewashinda! π πππββοΈππHawa jamaa wako mbali sana na mahali tulipo mbali sana