The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Soko gn hebu tuambie.Dar es salaam soko
View attachment 1608977
Soko gn hebu tuambie.Dar es salaam soko
View attachment 1608977
We kweli shoga haya tuambie ni Dar gn hyo yenye plastic bags [emoji3][emoji3][emoji3]Dar eneo ya downtown
View attachment 1609004
mwizi gani anaeleta maendeleo na kufanya mambo makubwa makubwa ww uliskia wapi???😂😂😂 munamchukia bure utasema adui yenuMagufuli ni mwizi
Sawa Ni mwizi wa aina yake...Magufuli ni mwizi
Iyo Tanga tuKariakoo ni nn bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kw old town haingii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1608897View attachment 1608898
Ndio walikuwa wanatupigia kelele humu,hutawasikia tena😆😆😆😂😂😂😂😂😂
Wakenya hebu kujeni tuzungumzie hii maneno [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3]
Nimekusaidia ku zoom haya onesha slum[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Dar ni majbu tuu. manyumba kama hizi sio slums. Uiki zitaja slums wegeni wao wata piga makele sana.
View attachment 1609157
View attachment 1609166
Kama anaiba ili kukamilisha miradi yenye tija kwa jamii hakuna shida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Magufuli ni mwizi
Hivi 2014 rais wa Tanzania kwani alikuwa Magufuli!Magufuli ni mwizi