The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Uyooo keshapata bandle ss ngoja uone anavyorukia comment wala hana muda wa kuisoma, wallahi Mungu fundi sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukipata F5 kutoka tz nitag
Uyooo keshapata bandle ss ngoja uone anavyorukia comment wala hana muda wa kuisoma, wallahi Mungu fundi sn[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukipata F5 kutoka tz nitag
Emu rudia tena[emoji23][emoji23]marikiti ina nn na wakati huaga karibia kila weekend utakutana na wabongo kibao wamekuja kufanya shopping ya madera na leso..so tudor kuna nn magorofa au kuna ushuzi hvi ww utamdanganya nani humu ndani sasa marikiti nayo ni sehemu ya maana[emoji3][emoji3] au ushuzi majumba yote ya udongo marikiti ndio wamachinga wenu wamejazana huko mm huna cha kunidanganya mzee kwa mombasa hii picha inatosha ridhika na majaaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] hii pichq inatosha sana mpaka hoteli yenu munayoitegemea marina imo ndaniView attachment 1607874
Hujaona barabara safi na street lights lakini? Ni chuki tu zimekujaa.Uchochoro km kawa
Kariakoo ni nn bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha blue towers ziko tatu tu Dar? Desperation izo sasa,Mombasa yote ni msasani peninsula pekee can't match even kariakoo and Upanga...Sasa mombasa ni kitu gani
😂😂😂😂😂😂 Labda sio Kariakoo ninayoijua mimiKariakoo ni nn bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kw old town haingii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1608897View attachment 1608898
Wee nae wacha aibu ndogo ndogo, marikiti [emoji116][emoji116]Emu rudia tena[emoji23][emoji23]marikiti ina nn na wakati huaga karibia kila weekend utakutana na wabongo kibao wamekuja kufanya shopping ya madera na leso..
We huijui mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]..
Eti marikiti kumejazana majumba ya udongo hata haya huna hata aibu jibaba lizima..
nyumba za udongo za miaka 100 iliopita na ina soko chafu kuliko chumba cha mvuta bangi nimerudiaEmu rudia tena[emoji23][emoji23]marikiti ina nn na wakati huaga karibia kila weekend utakutana na wabongo kibao wamekuja kufanya shopping ya madera na leso..
We huijui mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]..
Eti marikiti kumejazana majumba ya udongo hata haya huna hata aibu jibaba lizima..
Mji wa kale huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Labda sio Kariakoo ninayoijua mimi View attachment 1608914View attachment 1608915View attachment 1608916View attachment 1608922
Rudisha picha za wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Wee nae wacha aibu ndogo ndogo, marikiti [emoji116][emoji116]View attachment 1608924View attachment 1608925View attachment 1608926View attachment 1608927
Asa unaukata nn wkt we una tobo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rudisha picha za wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Marikiti kukiwa na nyumba hzo naukata sasa hivi mm[emoji23][emoji23]
Soko hili apa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]nyumba za udongo za miaka 100 iliopita na ina soko chafu kuliko chumba cha mvuta bangi nimerudia
sisi hua tunazoom kuangalia magofu 😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇Kariakoo ni nn bwana mdogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kw old town haingii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1608897
View attachment 1608898![]()
yani huko ukiskia ushuzi wa dunia nzima unapatikana marikiti na mwembe tayari 😂😂😂😂😂😂Wee nae wacha aibu ndogo ndogo, marikiti [emoji116][emoji116]View attachment 1608924View attachment 1608925View attachment 1608926View attachment 1608927
take one pic then chill budaa😂😂👇👇
Ni sawa na kukuta Toyota hiace inabeba abiria CBD Dar es salaam, kitu kiko outdated unang'ang'ania ndio maana ndege zinaanguka hivyo kenya. Kua updated . Achana na vitu vya zamaniUkipata F5 kutoka tz nitag
Hujakosea kabisa hyo ni old town picha nae jamaa atakua ana mahaba na old town ..yani kavuka bridge ilimradi aichukue yote ila imeshindikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ztake one pic then chill budaa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1608938
Hata marekani bado ziko on service, au unabisha?Ni sawa na kukuta Toyota hiace inabeba abiria CBD Dar es salaam, kitu kiko outdated unang'ang'ania ndio maana ndege zinaanguka hivyo kenya. Kua updated . Achana na vitu vya zamani
Wivu mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]yani huko ukiskia ushuzi wa dunia nzima unapatikana marikiti na mwembe tayari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unajifananisha na marekani kua mnaweza maintanance hizo outdated product. Mtadondoka sana ndege . Angalia maintanance schedule yao na yenu mko sawa . Acha kujidanganya kenya na marekani ni sawa na kifo na usingiziHata marekani bado ziko on service, au unabisha?