Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheee
FB_IMG_16033913486575739.jpg
 
Kwa hiyo unajifananisha na marekani kua mnaweza maintanance hizo outdated product. Mtadondoka sana ndege . Angalia maintanance schedule yao na yenu mko sawa . Acha kujidanganya kenya na marekani ni sawa na kifo na usingizi
Bwahahaa!!F5 mpka sasa inauwezo wakudungua hzo ndege zenu..
Yani hujui km iko na upgrades kibao, au wewe unajua km kuna f5 aina ngapi
 
Lol .... i am just seeing names. Ndio hii hapa Kibera yenye unapenda sana. You can clearly see where it starts and where it ends.

Now compare to Morogoro where you cannot even tell which part is a slum and which part is the CBD..... yaaani all districts co exist!!!

View attachment 1608012View attachment 1608013View attachment 1608014
Slum sio rusting jombaa,hizo picha za morogoro unaona kabisa nyumba zimepangiliwa, shida iko tu kwenye bati yame-rust,unaona kabisa roads,unaona kabisa social service kama vile stima...then angalia picha ya mwisho uliopost ya kibera duh..hivi hukwenda shule hadi usijue nini maana ya slum..
 
Acha kulia bwana mdogo, njoo mombasa utembezwe achana na mitandao
Eti marikiti kuna nyumba za nn vile
Ww unampenda sn ichoboy na nishamwambia akukaushie cz Wakenya hamuaminiki ucje muharibu mTz mwenzetu buree, so we jitekenye ukichoka Wakenya wenzio watakula mzigo hutapata mTz piga ua
 
Back
Top Bottom