Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,234
- 33,453
Najua mchana ulikuwa unawinda albino wakati mimi usiku huwa nalala. Hivi nikulizee, huwa unataka nikeshe hapa usiku nikifanya nini? 🤣 🤣 🤣Umeniona humu ndani leo...?? Au unazani Mimi jobless Kama wewe unae shinda JF muda wa kazi...Alafu unapotea usiku..??🤣🤣🤣