Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,959
- 27,950
Mwingine anasema ati Ethiopia haiko East Africa because they are not a member of EAC. Hawajui kwanza hiyo Ethiopia pekee ndio stress ya Kenya in this region, yani development ya hao watu inatisha.Hivyo ndivyo mlifundishwa shuleni? Kwamba Ethiopia haiko East Africa geographically? It's not about muono, it's about facts. Facts that will never change. Facts that have been cemented and documented in history books. If Ethiopia is not in East Africa, then is it in West Africa, North Africa or southern Africa? Vilaza wa Tanzania mko wengi
Ethiopia: East Africa’s Emerging Giant





