The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Umechambua vzr na wamekuelewa, na ss ndo nimefahamu kwmb tuko mbali kwenye sekta ya electric connectivity tumegonga 7.87mil wakati Teargass anasema kenya wapo kwny 6mil nchi nzimaHii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.
Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..
Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!









