Mine also gives me almost the same figures. According to their own analysis of 6 people per household, there are only about 16.2 million people using electricity in Tanzania. Na ile kelele iko hapa!
Fuatilia hiyo ripoti kabla ya kupinga, Kenya hamuwezi kuwa na hiyo idadi ya 21,000Km, nchi yenu ni ndogo sana, kwa idadi hiyo hata Turkana kungekua na Lami
Mimi kwa kawaida siwezi kupinga jambo kama ni kweli ila lazima nione official source ili nikubali. Sasa hata wewe nakuomba ungojee tupewe official source ili tujuwe ni nchi gani ina kilomita nyingi ya barabara. Lakini sitakubali maneno ya mwanasiasa kama official source. Unakumbuka minister of finance wa Kenya alisema kuwa Kenya iligrow at 2.6% na akasema kuwa hio ndio ilikuwa the highest rate in Africa. Unakumbuka mimi mwenyewe nilipinga vikali kauli hiyo na kusema kuwa ni uongo mtupu. Sasa mbona WaTZ wanataka kunilazimisha kukubali maneno ya mwanasiasa (Dr. Kalemani?) Siwezi kubali maneno ya mwanasiasa, wekeni report kama mnataka mjadala uendelee. Mimi sina tatizo kukubali kuwa Kenya ina kilomita chache ikiwa ni kweli na imeandikwa kwenye report ya serikali au WB au IMF. Mimi huwa sipingi official statistics.
Jambo jingine tofauti ambayo ni muhimu kufahamu ni kuwa wakati mtu anafanya research, ni muhimu kujua kwamba World Bank na IMF huwa wana data ambazo zinakinzana na statistic body ya nchi fulani. Kwa hivyo ukichukua data ya WB ya 2017 inayosema kuwa Kenya ina 11,000 km ya lami basi ni sharti uilinganishe na data ya WB ya 2019 ila ni makosa kuilinganisha na data ya KNBS ya 2019. Kwa sababu WB huwa inakinzana na KNBS au TZ statistics . Yaani kwa ufupi namaanisha tunastahili kuchukua data ya KNBS ya 2017 na kulinganisha na data ya KNBS ya 2019 au tuchukue data ya WB ya 2017 na kulinganisha na data ya WB ya 2019 ili kisayansi tuweze kudraw inference. Lakini hii tabia ya kuchanganya sources kwa kuchukua data ya WB ya 2017 na kuilinganisha na data ya KNBS ya 2019 ni makosa kwenye kuanalyze data ya statistics au economics.
Mine also gives me almost the same figures. According to their own analysis of 6 people per household, there are only about 16.2 million people using electricity in Tanzania. Na ile kelele iko hapa!
Hawa Malazy nimegundua ni ignorance inawasumbua. First of all someone puts up a link from I don't know whether it is world bank or not, that says Kenya had 11,000 km of paved road in 2017. Then they say KNBS statistic that says Kenya had 21,000 km of paved road in 2019 is wrong because there is no way Kenya could have built 10,000 km in 2 years. That is how an imbecile thinks. A real scholar will not compare World bank data for 2017 with KNBS data for 2019. Instead they will compare WB data for 2017 with WB data for 2019. Alternatively, they could compare KNBS data for 2017 with KNBS data for 2019. Only a fool will mix these two sources. Halafu wao wanatupea source yao ambayo ni mdomo ya politician. Yaani words za Dr. Kalemani ndio source yao.
Wapi Ichoboy atuambie hile 72% ya Nigeria minister wa Tanzania alipata wapi? 🤣 🤣 🤣
The weekend read: Expand and connect
Almost 60% of Nigeria’s population currently has access to electricity. But this breaks down as 78% in cities and urban areas, and just 39% in rural communities. The Rural Electrification Agency (REA), established by the government as part of electricity sector reforms in 2005, is tasked with bridging this gap and bringing reliable energy supply to the most remote parts of Nigeria. pv magazine spoke with REA CEO Ahmad Salihijo Ahmad about the organization’s strategy and recent progress, as well as the challenges that remain for rural electrification in Nigeria and the role of PV technology.
JULY 18, 2020 MARK HUTCHINS
This 7.1 MW solar hybrid power plant was developed by REA under the World Bank-supported Nigeria Electrification Project. The project powers a work and training center at Bayero University in Kano. Image: REA Nigeria
Ahmad Salihijo Ahmad, MD/CEO of Nigeria’s Rural Electrification Agency. The organization, which was set up in 2005, aims to expand energy access in unserved and underserved rural communities. Photo: REA Nigeria
How is rural electrification progressing in Nigeria? I see REA published a target to reach 60% rural electrification and connect 1.1 million households annually by 2020 – do you expect to achieve this?
REA has installed significant grid infrastructure to support licensed distribution companies in meeting their expansion plans in rural communities. To supplement the grid expansion projects, REA, through its Rural Electrification Fund and the Nigeria Electrification Project, has secured investment funds and partnered with the private sector toward rapidly connecting millions of households and businesses through the development of minigrids, power plants, and the deployment of standalone systems.
REA has achieved significant progress in providing rural electrification, with 103,500 connections as of December 2019. Reaching the 60% rural electrification target however, has been prevented by a number of factors, including the Covid-19 pandemic, access to sufficient funds, and the need to adhere to due process – like obtaining essential regulatory approvals. With new management on board and a new line up of impactful projects in the pipeline, REA now expects to exceed the goals previously set.
How does rural electrification fit in with Nigeria’s broader energy strategy?
Only 58% of Nigerians have access to electricity, with 78% access in urban areas and 39% in rural areas. Furthermore, an estimated 80% of those with access also use an alternative source of electricity supply, mostly diesel generators, due to reliability concerns. Nigeria currently has available grid power hovering around 4,000 MW for over 190 million people. It is estimated that the Nigerian economy loses $29.3 billion annually due to a lack of adequate power supply, and is estimated to have lost $470 billion in GDP since 2000 due to under-investment in power infrastructure. Rural electrification forms an essential part of Nigeria’s
Nigeria ni shit-hole kwenye mambo ya umeme. Wao wanatumia generator kila mahali huko Lagos. Halafu kila siku kuna blackout huko Nigeria. Halafu national grid haijafika maeneo yote. Huyo Dr. Kalemani kadanganya.
Ona hii article ya 2020, ati mtu anataka kutuaminisha ujinga hapa.

The story behind
Masanja Kadogosa kasema operation cost ya electrical SGR ni 1/3 ya diesel SGR kwa umbali sawia! Hapa nimewaonea huruma jirani maana watapelekeshwa kwenye vita ya kupunguza gharama mpaka waseme po! Ikumbukwe mchina anadai na ataendelea kudai chake! malipo ya dhambi ya ubaguzi wa COW tunayaona hapahapa! Hivi Tanzania ingekuwa part of COW hii idea ya superior SGR ingekuwapo kweli? This is blessing in disguise!
Hebu tuache uzalendo wa kijinga angalia hapo chini huoni Tanzaniania iko wapi na kenya iko wapi? Cc huwa tunaleta credible sources tofauti na nyie, angalia vile giza inameza kenya
Mataa yanawaka Kenya na Tanzania na Uganda combined. Nyie mburula mnadhani kuwa ni TZ tu inayowaka? Sasa hio 1400MW yenu mnayoconsume ndio inawaka kushinda 1900 MW ambayo sisi tunaconsume?
Hahahaha ramani ya Tanzania imejichora naturally, yaani sisi tunafuata great lakes, Victoria, Tanganyika, Nyasa, zipo very visible hata bila alignment, tena ukizingatia umeme umetapakaa kila kona sio kama Kenya 98% mpo giza totoro 😂😂😂😂
Mataa yanawaka Kenya na Tanzania na Uganda combined. Nyie mburula mnadhani kuwa ni TZ tu inayowaka? Sasa hio 1400MW yenu mnayoconsume ndio inawaka kushinda 1900 MW ambayo sisi tunaconsume?
Wakenya mtake msitake lazima mkubali tu kuwa nyuma yetu, yn cc kwa ss ndiyo tunaamua East and Central of Africa iweje cz nyenzo zote za kiuchumi tunakwenda kuzishika cc baba Lao
Nyie mpambane na Ug, Burundi, Rwanda na Congo, cc wacha tujaribu kwenda sawa na south Afrika na ndiyo maana unaona tunafanya mambo yanayoendana na Real MIC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.