Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
kwani wewe ni taahira kuto-revise what u write? Nikuulize maswali ku-test uelewa wako? wa hii maneno maana still naona errors unajikanganya! Still kwa misifa kama Mkenya unataka kujionyesha unajua kisa Kenya ina Geothermal power plants!Kwanini hukuniuliza mimi nilikuwa naimply nini niliposema thermal power? Kama ungeniuliza ningekueleza. Hata mwandishi amefafanua anamaanisha nini akitumia neno thermal power.