Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe umesema 2.7 m customers huko lazyland wako connected to power. Sasa kigezo kizuri ni kutafuta customers wangapi hapa Kenya wako connected to power ili tulinganishe. That is a more scientific way of doing it. Tuangalie idadi ya connected customers katika nchi zote mbili.
nyinyi mulishapiga mpaka hesabu za mtu mmoja mmoja inside household bado unahitaji ramli kuelewa 😀😀😀
 
aliekua anaongoza ni nigeria 👇👇👇👇👇👇👇👇 soma hapa

Kwani hiyo ranking ilikuwa ya Nigeria and Tanzania pekee? 🤣 🤣 🤣 South Africa wako wapi? What about Egypt that have 100% connectivity rate? Ama mtu aliwadanganya kuwa siku hizi 100% ni ndogo kuliko 74%?🤣🤣🤣
 
Yeah, the fact is that only 2.7 million customers are connected to electricity in Tanzania. Ama unapinga hiyo?
84% tanzania
74% kenya

hautabadilika hata uvae bikini sasa hvi 😂😂😂😂😂
 
Kwani hiyo ranking ilikuwa ya Nigeria and Tanzania pekee? 🤣 🤣 🤣 South Africa wako wapi? What about Egypt that have 100% connectivity rate? Ama mtu aliwadanganya kuwa siku hizi 100% ni ndogo kuliko 74%?🤣🤣🤣
kwani aliemueka nigeria top in rural electrification alikua nani ushawah jiuliza mbona hilo hukuuliza 😂😂😂 unauliza ya tanzania kwasababu ndui adui yenu
 
Ndio nataka unijibu ni nani huyo aliweka Nigeria on top. 🤣 🤣 🤣
 
Haya nayo yaona mtandaoni yanafanya moyo wangu uyeyuke,sijui Kama ni kweli!🇹🇿
 
survey source is that kenha source???
Kenya tuna bodies tatu au zaidi zinazojenga barabara. KENHA inajenga highways. KURA inajenga urban roads, KERA inajenga rural roads na county governments zinajenga county roads. Sasa umejumulisha statistics za hizi bodies nne au wewe umeamua kuchukua kilomita zilizojengwa za highways pekee na ukawacha kilomita zilizojengwa ndani ya cities, urban areas na rural areas? Sisi hatuna body moja ya kujenga barabara kama nyinyi. Tuna bodies kadhaa
 
Ndio nataka unijibu ni nani huyo aliweka Nigeria on top. 🤣 🤣 🤣
nikujibu nn wakat source zaidi 30 zinaongelea pamoja kwan hao ni wajinga hawana akili na unjua kesi ya kuweka fake news ????😂😂😂😂😂
 
Kenya tuna bodies tatu au zaidi zinazojenga barabara. KENHA inajenga highways. KURA inajenga urban roads, KERA inajenga rural roads na county governments zinajenga county roads. Sasa umejumulisha statistics za hizi bodies nne au wewe umeamua kuchukua kilomita zilizojengwa za highways pekee na ukawacha kilomita zilizojengwa ndani ya cities, urban areas na rural areas? Sisi hatuna body moja ya kujenga barabara kama nyinyi. Tuna bodies kadhaa
so survey ndio yenye mamlaka au sio 😂😂😂😂
 
Nilishawaambia the overall representative of all those four bodies ni KRB kitambo sana.
 
kwa vijijini tanzania ndio inaongoza africa 👇👇👇👇👇 tumempiku nigeria kwa 2%

Jibu swali. Hio 2.7m inahesabu vijiji tu au inahesabu hata nyumba moja moja.
 
Back
Top Bottom