Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,173
- 29,788
Hapo hata komora096 katii bila ubishiwacha kujilinganisha! hapa ndo mlipofikia! umeme unafuata Mombasa-kisumu railway!
![]()
Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
Hapo hata komora096 katii bila ubishiwacha kujilinganisha! hapa ndo mlipofikia! umeme unafuata Mombasa-kisumu railway!
![]()
tanzania ni adui yako au sio 😂😂😂Ushaanza kurudisha miaka nyuma? Wapi penye World Bank walisema source ni ya 2015?
anaitwa bi komora 😂😂😂 jana nimempa kiboko hana hamu
muzitoe wapi 21k ??😂😂😂 kenya ndio iwe nchi pekee duniani imejenga 10000km kwa miaka miwiliNyie mna 15k za lami sisi tuna 21k. Sasa mshindi?
fact will remain there hata uwehuke akili au uvae sidiria saaa hvi haitabadilika ukweli 😂😂😂😂👇👇👇👇👇
source from nigeria
hzo ndio hesabu hupigwa hvo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimekwambia simple mathematics take 2.7m * 6 jibu utalipata bila uchawi wala ramli16 million. Asante kwa kubali kuwa only 16 million Tanzanians wako na umeme 🤣 🤣 🤣
Sasa wacha nifanye mahesabu zangu.
Tanzania total population as of 2020 = 55 million plus
Population with electricity = 16.2 million.
The proportion of the population with electricity = 16.2/55*100= 30%
Who ranked you number one? Ukinijibu hiyo swali sitakusumbua tena 🤣 🤣 🤣 🤣
2.7m * 6 unapta ngap say it laud 😂😂😂 dawa ishaanza kukuingia sasaMbona ukweli ubadilike? Ukweli ni kuwa there are only 2.7 million connected customers in Tanzania of possible 9 million customers. Huo ndio ukweli umekuwa ukiimba hapa sasa mbona tupinge kuwa hamjafika 2.7 million connected customers? 🤣 🤣 🤣
Na wewe unadhani hapa Kenya tumeconnect customers wangapi kwenye umeme?ww hua nakwambia akili yako hata IQ yako inaonesha iko chini sana katika ufahamu 😂😂
2.7 million customers na mtu mmoja anaemiliki gora lenya 15 floors kuna appartments ngapi na kuna watu wangapi ndani yake
mbona ni akili ndogo tu yakutumia na ushaambia kila household moja ina watu 6 so take calculatuon and know how many people 😂😂😂
👇👇👇👇👇Who ranked you number one? Ukinijibu hiyo swali sitakusumbua tena 🤣 🤣 🤣 🤣
2.7m * 6 ni 16.2m. Ama huko kwako inatoka 50m?🤣🤣🤣hzo ndio hesabu hupigwa hvo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimekwambia simple mathematics take 2.7m * 6 jibu utalipata bila uchawi wala ramli
na kwanini muwe na access to electricity 74% wakat tanzania imefika 84% tumia akili kwanzaNa wewe unadhani hapa Kenya tumeconnect customers wangapi kwenye umeme?
Huyu ndiye aliwarank number one?🤣🤣🤣🤣 Uganda ni number ngapi? Na Rwanda je?
Kwa sababu 3/4 ya Kenya ni arid or semi-arid.Huko Turkana, Lamu na Mandera ni giza tororo! 3/4 Kunyaland haina umeme!
👇👇👇👇👇👇2.7m * 6 ni 16.2m. Ama huko kwako inatoka 50m?🤣🤣🤣
Kenya ni Nairobi na Mombasa maana sehemu zingine Giza totoroMbona stima iko mingi Kenya kuliko Tanzania?
😂😂😂😂 eti enhh manake huko wanaishi ngamia pekeyakeKwa sababu 3/4 ya Kenya ni arid or semi-arid.
aliekua anaongoza ni nigeria 👇👇👇👇👇👇👇👇 soma hapaHuyu ndiye aliwarank number one?🤣🤣🤣🤣 Uganda ni number ngapi? Na Rwanda je?
👇👇👇👇👇👇
mm hua natumia facts sio porojo
Wewe umesema 2.7 m customers huko lazyland wako connected to power. Sasa kigezo kizuri ni kutafuta customers wangapi hapa Kenya wako connected to power ili tulinganishe. That is a more scientific way of doing it. Tuangalie idadi ya connected customers katika nchi zote mbili.na kwanini muwe na access to electricity 74% wakat tanzania imefika 84% tumia akili kwanza