passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,798
- 13,034
Naona inawauma kuona Tanzania mpaka vijiji vya ndanindani kuna umeme yaani kati ya vijiji elfu 12 bado vijiji elfu 2 kupata umeme.World Bank sio wajinga wakisema kuwa Tanzanian connectivity rate ni 32% [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .