Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi penye tulipiga hesabu za mtu mmoja mmoja? This is 2017 and already 5.9 million customers were connected to electricity, nyinyi in 2020 you still have 2.7m. 🤣 🤣 🤣
Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid | kplc.co.ke.
simple and clear tena washaweka mpaka kwenye percentage it means hesabu ishafanyika sasa ww kuskia tanzania ina 84% unashtuka nn 😂😂😂👇👇👇
476CA658-1924-4B52-865A-9F6383C37C98.jpeg
 
so survey ndio yenye mamlaka au sio 😂😂😂😂
KNBS (Kenya national bureau of statistics) ndio ina mamlaka ya kutoa statistics za serikali. KNBS inatoa statistics zake kutoka kwa hizi bodies nne nilizokuambia. Sasa wewe umechukua statistics za Kenha na ukasahau kujumlisha na lami zilizojengwa na mamlaka nyingine kama KURA (urban roads).
 
hahahhahaha so mumejenga 10000km within two yrs ni sawa ?????😂😂😂
 
nikujibu nn wakat source zaidi 30 zinaongelea pamoja kwan hao ni wajinga hawana akili na unjua kesi ya kuweka fake news ????😂😂😂😂😂
Nani alifanya ranking? Which position was South Africa that has a 91% connectivity rate? What about Seicheles which also have a 100% connectivity rate? Ama they were disqualified from the ranking? 🤣 🤣 🤣
 
KNBS (Kenya national bureau of statistics) ndio ina mamlaka ya kutoa statistics za serikali. KNBS inatoa statistics zake kutoka kwa hizi bodies nne nilizokuambia. Sasa wewe umechukua statistics za Kenha na ukasahau kujumlisha na lami zilizojengwa na mamlaka nyingine kama KURA (urban roads).
muishkuru sana jamii forum wallah imewafungua sana akili na macho na hili najua unalijua fika ndani ya moyo wako 😂😂😂😂😂
 
Nani alifanya ranking? Which position was South Africa that has a 91% connectivity rate? What about Seicheles which also have a 100% connectivity rate? Ama they were disqualified from the ranking? 🤣 🤣 🤣
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?😂😂😂 mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
 
simple and clear tena washaweka mpaka kwenye percentage it means hesabu ishafanyika sasa ww kuskia tanzania ina 84% unashtuka nn 😂😂😂👇👇👇
View attachment 1601873
Wewe najua hesabu ndio inakuanga shida kwako 🤣 🤣 🤣 Those 63% of households represents the 5.9 million connected customers as of 2017. Sasa wewe ebu tuambie venye 2.7m customers inarepresent 84?🤣🤣🤣
 
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?😂😂😂 mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
Those are just peoples article venye mimi pia naezaamua kuandika kuwa Tanzania leads the world in electrification 🤣 🤣 Is this the same Nigeria hizo sources zako zimeandika kuwa ilikuwa top in 2018? 🤣 🤣 🤣
Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa, Nigeria | Data
 
Sielewi unamaanisha nini.
2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years 😂😂😂😂😂😂😂
 
2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka 1978 walikuwa na 7,000 halafu mwaka 2017 wakawa na 11,000 kukiwa na maaana waliongeza 4,000 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Those are just peoples article venye mimi pia naezaamua kuandika kuwa Tanzania leads the world in electrification 🤣 🤣 🤣
people article we mbuzi kweli nakupa official source unasema article 😂😂😂
 
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?😂😂😂 mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
 
Wewe najua hesabu ndio inakuanga shida kwako 🤣 🤣 🤣 Those 63% of households represents the 5.9 million connected customers as of 2017. Sasa wewe ebu tuambie venye 2.7m customers inarepresent 84?🤣🤣🤣
70% kenya against 84% tanzania bado munashindana nn 😂😂👇👇👇👇
A3524FBE-EDC9-43B8-8BAF-F1F80AC2145F.jpeg
 
Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
Mmezoea kuongopewa na wanasiasa wenu hadi mnaona kila nchi huwa wanadanganywa kama nyie [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnatia huruma mnoo!
 
Back
Top Bottom