Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ soma hapa nigeria alikua na percentage ngap na sisi tumefika ngapi na bahat nzuri huwez danganya u know y some of money for REA project from world bank sasa utadanganya nn
 
people article we mbuzi kweli nakupa official source unasema article ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wewe mbuzi unajajua maana ya official source kweli? Official source ni primary source, in other terms, mwenye alifanya ranking. Sasa ebu leta source kutoka kwa mwenye alifanya ranking I want to see the list of all 54 African countries.
 
2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unastahili kufahamu kuwa WB huwa wanachukua statistics kutoka KNBS na saa zingine WB huwa wapo nyuma kidogo ku- update records zao. Unastahili kucompare records za WB 2017 na 2019 au uamue kucompare records za KNBS 2017 na 2019 lakini umavi uliyofanya wewe ni ( kuchangaya sources) kucompare WB 2017 na KNBS 2019 ni upuuzi mtupu.
 
Wewe mbuzi unajajua maana ya official source kweli? Official source ni primary source, in other terms, mwenye alifanya ranking. Sasa ebu leta source kutoka kwa mwenye alifanya ranking I want to see the list of all 54 African countries.
Huyo hajui official source ni nini.
 
Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
according to statistics 2015 mambo yalikua hvi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

alipoingia magufuli mambo yalibadilika sana jamaa kaekeza pesa nyingi kwenye umeme

AFCBE5A3-1117-432E-A19C-DDB02963E271.jpeg
 
nakumbuka hizi stats zilivyotoka Wakenya walikuwa wa kwanza kuzigomea!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mtu hakubali lakini ndio ukweli na hawez badilisha hapa wamebakia kurusha ngumi za hewani tu
 
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ soma hapa nigeria alikua na percentage ngap na sisi tumefika ngapi na bahat nzuri huwez danganya u know y some of money for REA project from world bank sasa utadanganya nn
Wacha mchezo bwana. Mimi nadeal na official sources tu. Hii upuzi ya kuweka maneno ya mwanasiasa kama evidence ni mchezo. Kuwa serious. Weka data kutoka TZ bureau of statistics, au TZ ministry of planning au World Bank au IMF au UN. Either report kutoka serikali yenu au WB au IMF
 
according to statistics 2015 mambo yalikua hvi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

alipoingia magufuli mambo yalibadilika sana jamaa kaekeza pesa nyingi kwenye umeme

View attachment 1601888
Kumbe unaelewa maana ya neno "official source." Sasa leta kama hii uliyopost inayoonyesha kuwa electrification rate ya TZ ni 84%. Lazima iwe kwenye report, sio maneno ya mwanasiasa.
 
Unastahili kufahamu kuwa WB huwa wanachukua statistics kutoka KNBS na saa zingine WB huwa wapo nyuma kidogo ku- update records zao. Unastahili kucompare records za WB 2017 na 2019 au uamue kucompare records za KNBS 2017 na 2019 lakini umavi uliyofanya wewe ni ( kuchangaya sources) kucompare WB 2017 na KNBS 2019 ni upuuzi mtupu.
Ndio WB data zao hizi hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Hamtanasuka kwenye kilometres 11k wala 88% ya Kenya ni giza totoro ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

images - 2020-10-16T043821.318.jpeg
2590273_IMG_20201015_093737_311.jpg
 
nakumbuka hizi stats zilivyotoka Wakenya walikuwa wa kwanza kuzigomea!
Mwaka jana waziri wetu wa fedha alitangulia kusema kwamba Tanzania tumeshaingia uchumi wakati kutokana na hesabu zetu hapa wizarani, wakenya walicheka na kubeza, miezi sita baadae WB ikatangaza rasmi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe unaelewa maana ya neno "official source." Sasa leta kama hii uliyopost inayoonyesha kuwa electrification rate ya TZ ni 84%. Lazima iwe kwenye report, sio maneno ya mwanasiasa.
mm nakuletea 2020 official utake usitake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
0CED2F3C-61FD-44CE-AEBB-0CE3DAC04C46.jpeg
 
Back
Top Bottom