Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

now leta zikiwa na registration ya Kenya! zinaweza kuwa kwenye exhibition!
Wewe unaongelea exhibition wakati ndege zinachapa kazi Somalia saa hii 😂 😂 🤣 🤣 👇 👇
Helicopter.jpg
 
Teargass huyu jamaa unaweza bishana nae kutwa nzima na clear facts, Hapo kwenye umeme kwa mf, Mtu anaeongoza kusambaza umeme kwa kasi kwa kifupi unaweza kuona ni ambae alikua nyuma zaidi kwenye iyo idara...yani ukisambaza umeme kwenye vijiji 5k kwa miaka 5 manake kasi yako iko vizur ila kwa tafsiri ingine hao wateja wapya hawakua na umeme kabla....Tunaweza kujipongeza kwa kusambaza umeme kwa kasi leo lakini vp Upatikanaji wa Huo umeme na watumiaji wa Huo umeme unaendana na target ya serikali kivipi kwa mfano....Lengo kuu hapo ni kukuza uchumi kwa kukusanya tozo za matumizi ya umeme...sasa kwa mtu ambae ndio kwanza kaupata umeme anaweza kuutumia kwa ufanisi uliokudiwa Au ni service oriented
 
Wacha kukimbia mada, how can a modem country to have only one body carries Researches on Economy survey, are really serious?
Nyinyi ambao mko na bodies kumi mbona haijawasaidia kuwa na uchumi kubwa kushinda sisi wenye tuko na body moja?
 
Electricity connectivity:
Tanzania 85%
Kenya. 68%

Note: Tanzania is twice bigger in Geographical size than Kenya, if you take this factor in Consideration, Equation changes to:

Tanzania 85%
Kenya. 34%
Hizi ndio hesabu za saint kayumba preparatory??
 
Mkuu,hivi unakumbuka ile hotuba ya Mwl.Nyerere ya watu kugeuka mawe mlimani? Rais Magufuli ameifanyia kazi vizuri Sana ile hotuba.
Acha tuu Mkuu, Eti mpaka huyu mgombea uraisi wa chama kile kwa kujidai m'bobezi wa sheria eti akawaaminisha Watanzania tutafungwa kwa kuvunja mikataba...Kelele zile zilikuwa zinatisha sana.
 
Wacha wee! So kule Mwanza na Dodoma kwenye projects za kufa mtu hamna kitu? Zanzibar je? Leta evidence ya project worthy over $300 mln in Kenya outside Nairobi!
Kigongo-Busisi bridge for Mwanza n Msalato Airport n ringroad in Dodoma r evidence that Tanzania is not Kenya!

See projects in Mwanza
Kisumu vs Mwanza

See projects in Dodoma
EA capital cities: Dodoma vs Nairobi

See the $2.9 bln mega project in Pwani
Julius Nyerere Hydro Power Project (Mw 2115) JNHPP (@JNHPPROJECT) on Twitter
Na project ya Maji Arusha $500milions
 
Kila mtu ana muono wake kuhusu East Afrika, but ukweli halisi ni kwamba East Afrika inaundwa na Tz, Ke, Ug, Rw, and Bur, hao wengine kuna utata cz wengine wapo Eastern-north, Southern-East, Central zone, n.k, angalia hapa chini mwengine anavyoelezea East Afrika View attachment 1600777
Hivyo ndivyo mlifundishwa shuleni? Kwamba Ethiopia haiko East Africa geographically? It's not about muono, it's about facts. Facts that will never change. Facts that have been cemented and documented in history books. If Ethiopia is not in East Africa, then is it in West Africa, North Africa or southern Africa? Vilaza wa Tanzania mko wengi
 
Back
Top Bottom