komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mwengine hku kasema ni za wamarekani kule nanyukiAlianza na kutaka kuona 5y after nimemshow video za hizo ndege akasema kuwa hizo ndege ni za UN. Naona saa hii ameruka kwa writings.

Mwengine hku kasema ni za wamarekani kule nanyukiAlianza na kutaka kuona 5y after nimemshow video za hizo ndege akasema kuwa hizo ndege ni za UN. Naona saa hii ameruka kwa writings.

Kwanza ebu nionyeshe ndege za UN zenye rangi za jeshi. Ukinionyesha natoka hapa.kua serious weww hakuna mjinga humu ndani 😂😂😂 wamekukaanga kwenye barabara umekimbia huko unakuja na huku unataka kudanganya pia
Achana nae please, utamfanya alie leoAlianza na 5y, akatoka huko akaruka tu ndege za UN. Sasa saa hii anasema ati writings ni tofauti![]()
![]()
![]()
Hizi hapa za UNexactly! helicopter za US/UK base Nanyuki!
lakini hunidanganyi mm kua ile ni registration ya kenya mpaka yesu anashuka mark my words😂😂😂Km hizi lkn wala sio hzo, labda uniulize lini UN walibadili mfumo wa upakaji rangiView attachment 1600874
@Natron jr njooo huku kaanza tena 😂😂😂😂😂
Hahahaha liangalie hili lipuuzi yaani kwa miaka miwili mmejenga kilometers 4000 za lami?
Hivi unajua kilometers 100 za lami zinachukua miaka mitatu mpaka minne kukamilika?
Sasa Lete tenders zote za hii miaka miwili miliojenga kilometers 4000 hapa
Usifikiri unaongea na misukule ya Jubilee hapa
Ili kukamilisha kilometers 4k za lami kwa miaka miwili inakuhitaji angalau kuwa na makampuni sio chini ya 40 ya ujenzi ambayo yamegawana vipande vidogo vidogo ili kazi iishe haraka
Lete hiyo mikataba 40 ya ujenzi mliosaini 2017 hapa![]()

atolee wapi mkuu,,, Ebu tuambie hiyo ni registration ya wapi. Juu inakaa unajua kuliko wakenya.lakini hunidanganyi mm kua ile ni registration ya kenya mpaka yesu anashuka mark my words😂😂😂
sijui ya wapi na sio ya kenya pia, unless uthibitishe hio ni registration ya kenyaEbu tuambie hiyo ni registration ya wapi. Juu inakaa unajua kuliko wakenya.
majibu yapo hapa😀😀👇👇👇I`m still waiting for answers za hizi questions, any Tanzanian who is brave enough ajitokeleze 😂 😂
Title: Tanzania leads in rural electrification.
Questions
1. Who did the ranking? (10mks)
2. Who was last in that rural electrification ranking? (5mks)
3. Which countries were the top 5 in rural electrification? (15mks)
4. The top 5 countries that had higher rural electrification, what was the percentage of each one of them? (20mks)
5. Which year and date was the ranking done? (20mks)
6. How many countries dropped in that ranking and how many countries improved? (30mks)
Mwengine hku kasema ni za wamarekani kule nanyuki![]()
majibu yako yote yapo hakuna haja ya kugawa marks😂😂👇👇👇I`m still waiting for answers za hizi questions, any Tanzanian who is brave enough ajitokeleze 😂 😂
Title: Tanzania leads in rural electrification.
Questions
1. Who did the ranking? (10mks)
2. Who was last in that rural electrification ranking? (5mks)
3. Which countries were the top 5 in rural electrification? (15mks)
4. The top 5 countries that had higher rural electrification, what was the percentage of each one of them? (20mks)
5. Which year and date was the ranking done? (20mks)
6. How many countries dropped in that ranking and how many countries improved? (30mks)
7. How many countries maintained their positions from the previous ranking?
nigeria kakiri itakua wewe punga😂😂👇👇👇👇👇 na nigeria ndio waliokua wanaongoza na tumewaacha by 2%I`m still waiting for answers za hizi questions, any Tanzanian who is brave enough ajitokeleze 😂 😂
Title: Tanzania leads in rural electrification.
Questions
1. Who did the ranking? (10mks)
2. Who was last in that rural electrification ranking? (5mks)
3. Which countries were the top 5 in rural electrification? (15mks)
4. The top 5 countries that had higher rural electrification, what was the percentage of each one of them? (20mks)
5. Which year and date was the ranking done? (20mks)
6. How many countries dropped in that ranking and how many countries improved? (30mks)
7. How many countries maintained their positions from the previous ranking?
sijui ya wapi na sio ya kenya pia, unless uthibitishe hio ni registration ya kenya
majibu yako yote yapo hakuna haja ya kugawa marks😂😂👇👇👇
now leta zikiwa na registration ya Kenya! zinaweza kuwa kwenye exhibition!Details of KDF's New Lethal Choppers
- By JOHN MBATI on 23 January 2020 - 1:42 pm
![]()
- President Uhuru Kenyatta fulfilled his promise of fighting terror groups such as Al-Shabaab and radical extremism.
On Friday, January 17, at State House Mombasa, the head of state detailed a new comprehensive strategy in the war, which encompassed security officers receiving an equipment upgrade, multi-agency coordination, advanced training and community involvement and incentives.
On Thursday, January 23, Kenya Defence Forces (KDF) received new helicopters that were commissioned by Chief of Defence Forces General Samson Mwathethe at Embakasi, Nairobi.
![]()
"The purchase of the helicopters is part of the KDF modernisation programme," a tweet by KDF read.
According to KDF, the MD 530F Cayuse Warrior choppers are of modern generation attack. The planes cost approximately Ksh 141 billion.
The multi-purpose armed helicopter can be deployed in tactical, reconnaissance and transport operations. It can also carry out airborne law enforcement, executive and personnel transport, air medical services, search and rescue (SAR), firefighting and other public safety missions.
Being armed aids them to engage targets on the ground, such as enemy infantry and armoured fighting vehicles. The helicopters can also provide direct and accurate close air support for ground troops.
KDF also stated that the choppers were fixed with contemporary airborne and armament systems.
According to a military analysis website, the armament systems entails carrying explosive devices that can be accurately delivered from the planes while airborne.
The system handles some of the most delicate weapons in the military, from explosives to bombs and rockets.
Being contemporary airborne means that the choppers can be fully operational and fire weapons while off the ground. Soldiers can also alight from the planes while in mid-air.
The interior is equipped with fire extinguishers, soundproofing system, map case and an instrument lighting.
![]()
majibu yako yapo hapa whether u go east or west😂😂😂👇👇👇👇Hakuna kitu hiyo tweet yako imejibu hata moja. Mnaguess tu figures alafu mnakuja kudanganya nayo watu. Tanzania electricity access ni 32%
Access to electricity (% of population) - Tanzania | Data
asante kwa kuleta link ya 2018 mm nakuletea 2020😂😂😂😂Hakuna kitu hiyo tweet yako imejibu hata moja. Mnaguess tu figures alafu mnakuja kudanganya nayo watu. Tanzania electricity access ni 32%
Access to electricity (% of population) - Tanzania | Data