joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Source pleasePole sana kwa kukwamilia na data za 2009. Our current data is 21,000km.
View attachment 1600748




Source pleasePole sana kwa kukwamilia na data za 2009. Our current data is 21,000km.
View attachment 1600748




Wacha wee! So kule Mwanza na Dodoma kwenye projects za kufa mtu hamna kitu? Zanzibar je? Leta evidence ya project worthy over $300 mln in Kenya outside Nairobi!Outside Dar nothing comes close! 2nd imechakaa vinoma!.,imebaki domo domo na propaganda.., fikra tu not reality😉😂😂😂
Electricity connectivity ya Tanzania ni 32% acheni ujinga.Electricity connectivity:
Tanzania 85%
Kenya. 68%
Note: Tanzania is twice bigger in Geographical size than Kenya, if you take this factor in Consideration, Equation changes to:
Tanzania 85%
Kenya. 34%
![]()
Hahahaa!!umekasirikaU/C? Angalia hii mbuzi![]()
Ni vibaya sana unashare ya tweet yenye hata hujui ndani ya hiyo article inaongelea niniHapo wamesema as of 2017![]()
Hahahaha hivi mbona wewe ni zombie hivi, hiyo ni takataka ya Kenya ministry of roads propaganda ya JubileeAngalia hii screenshot from World Bank uniambie unaona nini ya hiyo the second table, 20017 ama 2009.
View attachment 1600735
Siku hizi tweet ya WB ina jina la kihindiHahahaha hivi mbona wewe ni zombie hivi, hiyo ni takataka ya Kenya ministry of roads propaganda ya Jubilee
WB Wamesema mpaka 2017 mna kilometers 11k tu za lami na si vinginevyo
Halafu nasubiri hiyo mikataba ya 4k kilometres kwa miaka miwili hapa



Kuja na excuse ingine tena.Unaficha nini na screenshot zako?, weka link tufungue wenyewe tusome, hii sio page ya WB unajaribu kuficha![]()
Tanzania ni 32%Electricity connectivity:
Tanzania 85%
Kenya. 68%
Note: Tanzania is twice bigger in Geographical size than Kenya, if you take this factor in Consideration, Equation changes to:
Tanzania 85%
Kenya. 34%
![]()
Onaongelea ripoti ya WB ya 2017 inayozungumzia barabara za Kenya zenye lamiNi vibaya sana unashare ya tweet yenye hata hujui ndani ya hiyo article inaongelea nini
Hiyo ni kitu ya 2009 kijana.Onaongelea ripoti ya WB ya 2017 inayozungumzia barabara za Kenya zenye lami
flag is not a case mzee hata UN ndege zao zina flag za nchi husika usifaanye watu wajinga humuSasa mbona 5Y ikuwe na tayari unaona flag hapo nyuma. Hama hiyo ni flag ya Tanzania?
Kwasababu unakataa ripoti ya WB unataka tukubali ripoti ya Kenya pekeeLeo unaitisha sourcekweli mumechanganyikiwa



Kila mtu ana muono wake kuhusu East Afrika, but ukweli halisi ni kwamba East Afrika inaundwa na Tz, Ke, Ug, Rw, and Bur, hao wengine kuna utata cz wengine wapo Eastern-north, Southern-East, Central zone, n.k, angalia hapa chini mwengine anavyoelezea East AfrikaWewesijui utaacha ujinga lini. This is a map of East African countries.
View attachment 1600757

Hahahaha hivi mbona wewe ni zombie hivi, hiyo ni takataka ya Kenya ministry of roads propaganda ya Jubilee
WB Wamesema mpaka 2017 mna kilometers 11k tu za lami na si vinginevyo
Halafu nasubiri hiyo mikataba ya 4k kilometres kwa miaka miwili hapa
Ethiopia wapo East. Maybe hiyo opinion yako inaezaapply to Sudan, Mozambique, Zimbabwe Etc. Lakini for Ethiopia, wako East.Kila mtu ana muono wake kuhusu East Afrika, but ukweli halisi ni kwamba East Afrika inaundwa na Tz, Ke, Ug, Rw, and Bur, hao wengine kuna utata cz wengine wapo Eastern-north, Southern-East, Central zone, n.k, angalia hapa chini mwengine anavyoelezea East AfrikaView attachment 1600777
Hahahaha dead link hakuna kitu zaidi ya hewa 🤣🤣🤣🤣So unashare tweet enye hujui ndani yake inaongelea nini? 😂 😂 😂 🤣 Let me give you the original document ya hiyo tweet uniambie ni ya mwaka gani.
https://documents.worldbank.org/cur...2/pdf/600050PAD0P1241OFFICIAL0USE0ONLY191.pdf
huyo hata usibishane nae 😂😂😂Kila mtu ana muono wake kuhusu East Afrika, but ukweli halisi ni kwamba East Afrika inaundwa na Tz, Ke, Ug, Rw, and Bur, hao wengine kuna utata cz wengine wapo Eastern-north, Southern-East, Central zone, n.k, angalia hapa chini mwengine anavyoelezea East AfrikaView attachment 1600777