Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,975
- 27,977
Kwahyo co tena 21k bali ni 17k![]()
Kwahyo co tena 21k bali ni 17k![]()
Mbaya zaidi hiyo tweet inaongelea road network ya 2009. 🤣 🤣 🤣Ukiona mtanzani amekomalia twitter ujue amekosa pakutokea..
Ni sawa na kichaa aliyeshikwa na njaa kali sana, sokoni akishika chungwa mtauwana hata km pembeni yapo mia
Iyo source mbona ya 2009?sahv ziko 17k hawajafika 21kso its right 2017 mlikua na 11000km so mumechukua 2yrs kujenga 10000km wakat hzo 11000km ni toka mumepatq uhuru 50 yrskweli una shoti kwenye medula wewe
View attachment 1600297
In 2009, Kenya`s paved roads were 11,000km according to WB but in 2019 tumefika 21,000km.sisi 2019 tumefkisha 13000km and 2000 ziko under construction mbona liko wazo kabisa 😂😂😂 na hatuna bla bla bla hapa
unatala ushahidi bi komora😂😂👇👇Hii ndio link, hta wikipedia lete hamna noma nitaikubali tu..![]()
so from 2017 to 2019 mumejenga another 11000km
wakat toka munapata uhuru 1960s mapaka 2017 mumejenga 11000km over 50 yrs leo miaka mitatu mushajenga 11000kmmwenyewe unajiona bright




wanafurahisha sanain 2017 umekubali mlikua na 11000km accorfing to world bank 😂😂😂 so in 2yrs time mumejenga 10000km , pima akili yako bro kuna shida sehemuIn 2009, Kenya`s paved roads were 11,000km according to WB but in 2019 tumefika 21,000km.
View attachment 1600311
kubali kua 2017 mlikua na 11000km according to world bank kwanza 😂😂😂 alaf tuendeleeYeah, nakubali kuwa in 2009 paved roads were 11,000km na ya 2019 ni 21,000km
hata 17km hawajafika according to world bank 😂😂😂Iyo source mbona ya 2009?sahv ziko 17k hawajafika 21k
world bank inasema 2017 mlikua na 11000km sawa sio sawa😂😂😂In 2009, Kenya`s paved roads were 11,000km according to WB but in 2019 tumefika 21,000km.
View attachment 1600311
Tuko 21,000km kijana. Mbona umekazana na 17, 000km ?Iyo source mbona ya 2009?sahv ziko 17k hawajafika 21k
unajichosha ,,,,,Tuletee link ya kutoka 2015 mpka 2019 tuone millionaires wa tz idadi yao ilikuaje
In2009 tulikuwa na 11,000km, in 2019 tuko na 21,000km.in 2017 umekubali mlikua na 11000km accorfing to world bank 😂😂😂 so in 2yrs time mumejenga 10000km , pima akili yako bro kuna shida sehemu
Jamaa amekosa raha kabisa cku ya leo na kwa jinsi walivyokata tamaa na nchi yao basi huu ukweli wa kwamba wana km 11k only of paved roads utawafanya wapotee humu hata mwenzi, c mnakumbuka ubungo interchange iliwafanya walasusia thread?world bank inasema 2017 mlikua na 11000km sawa sio sawa![]()





Nmepitia report kibao hakuna inayosema mmecross 20k sasa tangu lini mm nikakuamini?Tuko 21,000km kijana. Mbona umekazana na 17, 000km ?
Jamaa amekosa raha kabisa cku ya leo na kwa jinsi walivyokata tamaa na nchi yao basi huu ukweli wa kwamba wana km 11k only of paved roads utawafanya wapotee humu hata mwenzi, c mnakumbuka ubungo interchange iliwafanya walasusia thread?![]()
So mlitumia 50yrs kujenga 11k mkiwa na serikali imara zen mkatumia only 10yrs kujenga 11k zingine mkiwa na serikali ombaomba, duuhh hii ya leo kali






😂😂😂😂😂Nmepitia report kibao hakuna inayosema mmecross 20k sasa tangu lini mm nikakuamini?