Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,979
- 27,984
Kama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?Nmepitia report kibao hakuna inayosema mmecross 20k sasa tangu lini mm nikakuamini?
Kama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?Nmepitia report kibao hakuna inayosema mmecross 20k sasa tangu lini mm nikakuamini?
nasema umeletewa ushahidi kua 2017 mlikuq na 11000km ni sawa sio sawa 😂😂😂😂
Muone kwnz uso wake ulivyomparara kwa aibuKama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?




😂😂😂😂😂😂 leo umejitia vidole sanaKama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?
Wait sio ww uliekua wasema Tz ina 9k zenys lami untill majuzi hapa Ndio kuona tumecross 10k ndio ukabadili gear angani?Huu mchezo wako wa kupunguza numbers likiwa jambo la Tz na kupaisha numbers likiwa jambo la kenya mm binafsi Sijawahi kulipendaKama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?
Leo sitawaacha kirahisi.So mlitumia 50yrs kujenga 11k mkiwa na serikali imara zen mkatumia only 10yrs kujenga 11k zingine mkiwa na serikali ombaomba, duuhh hii ya leo kali![]()
2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads, 2018 tulifika 18,000km and in 2019 tukawa na 21,000km. Huo ndio ukweli ucheke ulie 🤣 🤣 🤣 👇nasema umeletewa ushahidi kua 2017 mlikuq na 11000km ni sawa sio sawa 😂😂😂😂
Sasa hapa nimepunguza gani na kupandisha gani? Hizi data zote ni kutoka kwa serikali, kwanza za Tanzania ni 2020.Wait sio ww uliekua wasema Tz ina 9k zenys lami untill majuzi hapa Ndio kuona tumecross 10k ndio ukabadili gear angani?Huu mchezo wako wa kupunguza numbers likiwa jambo la Tz na kupaisha numbers likiwa jambo la kenya mm binafsi Sijawahi kulipenda
11,197 leo mtamuua kwa maumivu




Another 2009 data. 🤣 🤣 🤣hawa pia waongo inamaana 😂😂😂👇👇
View attachment 1600323
Sawa ndio cc tumekubali ni 12,964 na 2000km ziko u/c ambapo itafanya nchi ifikishe 15k ambazo hamtazifikia leo wala keshoSasa hapa nimepunguza gani na kupandisha gani? Hizi data zote ni kutoka kwa serikali, kwanza za Tanzania ni 2020.
View attachment 1600324View attachment 1600325



Sasa kulingana na nyinyi, TNBS inasema ukweli wakati KNBS inadanganya? Juu hizo data zote zimetoka from National statistics. Mbona mnapinga ya KNBS na sio za TNBS?Sawa ndio cc tumekubali ni 12,964 na 2000km ziko u/c ambapo itafanya nchi ifikishe 15k ambazo hamtazifikia leo wala kesho![]()
Unaongelea kitu tulifanya 2013🤣🤣🤣 Hii hapa ni Kenyas paved roads in 2018 which was18,655km.Sawa ndio cc tumekubali ni 12,964 na 2000km ziko u/c ambapo itafanya nchi ifikishe 15k ambazo hamtazifikia leo wala kesho![]()
2017 muna 11000km 2019 muna 21000km sijui hata USA ina ubavu huo 😂😂😂😂Another 2009 data. 🤣 🤣 🤣
👇👇👇👇😂 2017 muna 11000km alaf ghfla 2019 21000km with economy of 4.6%😅😅😅😅 aisee kazi ipoUnaongelea kitu tulifanya 2013🤣🤣🤣 Hii hapa ni Kenyas paved roads in 2018 which was18,655km.
1,621km of roads paved in 2018
Badu hujalia, this is 2018 na tulikuwa na 18,655km. 2019 tuko na 21,000km. Huu ni ukweli that can`t be changed whether ucheke ama ulie 🤣 🤣 🤣2017 muna 11000km 2019 muna 21000km sijui hata USA ina ubavu huo 😂😂😂😂
We ilo neno moja litakupotezakwneye maneno 100 ya mkenya chukua moja uondoke 😂😂😂😂
Hahaaa!!tulia basiunajichosha ,,,,,