Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok, Tanzania ni 9,000km. Kenya 21,000km.
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? 😁😁😁😁

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine 😁😁😁😁

Eed6diGXgAA0hHa.jpg
Screenshot_20201014-134821~2.png
 
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? 😁😁😁😁

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine 😁😁😁😁

View attachment 1600154View attachment 1600157

Utahangahika sana.
2424280_IMG_20200611_130314.jpg
 
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which?

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine

View attachment 1600154View attachment 1600157
Nadhani umeshamaliza utata, paved roads Kenya ni km11k
 
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? 😁😁😁😁

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine 😁😁😁😁

View attachment 1600154View attachment 1600157

Leo mmewaamulia...
 
View attachment 1600186

Wewe tabularasa Teargass hebu niambie kwenye hiki kipeperushi chako hapa mkwaka 2017 lami ilikuwa KM ngapi na hapo 2019 ni KM ngapi? Ilitokea time wakavunja lami au ni nini? Where did you get this crap?
Ajabu ni kwamba kutoka 2018 mpk 2019 iliongezeka km1 tu ya paved road kwa trunk roads
 
Back
Top Bottom