Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which?

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine


View attachment 1600154View attachment 1600157
Tatizo lenu muwazembe huaga mkipata habari hamsoni na kuielewa kwanza...
Jamani!!
Screenshot_20201014-190543_Photo%20Editor.jpg

Kisha kuna watu wame like bana
 



Solo Oil delighted as Aminex greenlight marks key development for Tanzania assets​

“This milestone indicates an improving operating environment in Tanzania," said chief executive Tom Reynolds.
Solo Oil PLC - Solo Oil delighted as Aminex greenlight marks key development for Tanzania assets


Solo Oil PLC (LON:SOLO) chief executive Tom Reynolds has declared the company delighted with the news that partner Aminex PLC (LON:AEX) has received approval from the Tanzanian government for its farm-out transaction for the Ruvuma project.

It allows ARA Petroleum to take a 50% interest in the project and become operator of the project.

Solo, which retains 25% of Ruvuma, said the transaction’s approval marks a key development in the company’s ongoing sales process for its assets in Tanzania.

"We are delighted Aminex and ARA Petroleum have succeeded in obtaining the final government approvals for the completion of their transaction,” Reynolds said in a statement on Monday afternoon.

“This milestone indicates an improving operating environment in Tanzania and emphasises the commitment of the incoming operator to move forward with the development and unlock the value from this high-quality onshore gas asset ideally situated to provide domestic gas into existing infrastructure and with a ready market for commercialisation.”

He added: “From our perspective, this is a key milestone for our sales process as it provides clarity and certainty on the development of the project.

“We continue to have strong engagement for our sales process, and with this news today, we hope to move those discussions forward with a view to realising value for our shareholders and setting us on our stated growth path."

Solo Oil delighted as Aminex greenlight marks key development for Tanzania assets
 
Bwahahah!!local roads hzo hapo
Sijui leo utatoka na wapi
Ok ngj nikukazie japo najua utakuwa hunielewi,

Kwnn hapo kwenye hyo table ya local roads idadi ya paved roads 2016 ilikuwa 1450 zen mwaka 2017 ikashuka mpk 1118.

Pia hapo hapo kwenye hyo table inaonesha unpaved roads mwaka 2015 ilikuwa 107,621 but 2016 ika rise up to 116,151 why???
 
Nimeangalia hk kipeperushi ndo naona maboko yanazidi kuongezeka yn paved badala ziongezeke zinapungua alafu unpaved badala zipungue zinaongezeka, inawezekana ardhi ni kiumbe hi kunakuwa na kufa
Halafu total road network imeongezeka 2016 tu, then ikaanza kupungua kwa kiwango cha kutisha, sasa jamani mtandao wa barabara zetu umepelekwa wapi? Huyu bibie Teargass sijui ana shida gani leo kwa kweli..
 
Angalia total paved ni kilometres 17k 🤣🤣🤣🤣

Wakati kipeperushi cha shost yako kinasema ni 21k na data zote hizi zinatolewa na Kenya road board 🤣🤣🤣🤣🤣

Propaganda ya Jubilee kuwahadaa mafala
Total classified paved roads ni 17,000km and that`s also what`s in the screenshot. Haya sasa ongeza the 4,000km of unclassified but paved roads ukuwe an jumla ya 21,000km of paved roads.😂😂🤣👇
2424280_IMG_20200611_130314.jpg
 
Umempata kabisa, hizi ni numbers za classified pekee. Akiongeza 4,000km of unclassified paved roads anpata 21,000km
Unclassified kitu gani?

Hizo takataka nyingine hapo zimewekwa kwa titles za wamiliki kama kenha, kura, keria, county government, narrow blah blah blah 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ok ngj nikukazie japo najua utakuwa hunielewi,

Kwnn hapo kwenye hyo table ya local roads idadi ya paved roads 2016 ilikuwa 1450 zen mwaka 2017 ikashuka mpk 1118.

Pia hapo hapo kwenye hyo table inaonesha unpaved roads mwaka 2015 ilikuwa 107,621 but 2016 ika rise up to 116,151 why???
Naongea umeingiwa na kigugumizi sasa..
Mbna unatapatapa sana, haya nimekuongezea 5000km ili ufute machozi
Manake unaumia sana na wakati hayo maswali ukawaulize watu wenu hko walioiandaa..
Si ni serekali walioiandaa jamani
 
Hamkuwa mnajenga barabara
Kwa hiyo at 2017 tulikuwa na 8k km za paved.. kwa kuwa hatukujenga barabara bhas at 2019 tukabakiwa na km 7k za paved road sio?... Hivi barabara nazo ni kama icecream kwamba zinayeyuka ama ni nini?..... Hehehe tema hiyo taskima asee ushakuwa high kuruka hujielewi
 
Back
Top Bottom