Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawana bridges so kila kitu ambacho hawakielewi wanakiita bridge, wasameheni jamani. Hata bridge kama salender tu hawana.
Kwhyo bridge mpka iwe mtoni au baharini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nyie bongolala..
Je yale ya watu kutembelea sio bridge tena
 
Ndio useme hapo 2017 inasoma kilometa ngapi na kwanini kilometa zipungue 2018 na 2019..
Yani hii ni aibu kubwa, hivi vidata vyao huwa wanaviedit wenyewe tatizo huwa wanajisahau angalia ss kaumbuka na hawezi kujibu yn badala paved roads ziongezeke ndo kwnz zinapungua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajuwa ww wkt mwngne uwe na akili, kwa mujibu wa hyo table yako inaonesha Grand total yn ya international trunk roads, national trunk roads, primary roads, secondary roads, minor roads, special purpose na unclassifiedd roads.

Ila cc huwa tunahesabu international, national trunk roads, secondary and primary roads only but tukisema tupige grand total mtakimbiana humu mana Tz ni kubwa sana na eneo kubwa la road network liko paved.
Tuletee hyo taarifa yenu basi ambayo haina unclassified..

Jamae wameshaanza ku change mafaili hku[emoji23][emoji23]
 
Yani hii ni aibu kubwa, hivi vidata vyao huwa wanaviedit wenyewe tatizo huwa wanajisahau angalia ss kaumbuka na hawezi kujibu yn badala paved roads ziongezeke ndo kwnz zinapungua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣 Tatizo ya hivi vidata vyao vinapikwa na kichwa maji 😁😁😁😁
 
Tuletee hyo taarifa yenu basi ambayo haina unclassified..

Jamae wameshaanza ku change mafaili hku[emoji23][emoji23]
Jamaa wanahangaika kweli kweli, mara wajaribu Wikipedia, mara wajaribu gazeti, mara wajaribu World Bank.
 
Tuletee hyo taarifa yenu basi ambayo haina unclassified..

Jamae wameshaanza ku change mafaili hku[emoji23][emoji23]
Km ww kweli uliingia class hebu niambie hiki kipeperushi kipo sawa na usipojibu sawa sawa wacha kuniquote mana utakuwa unaongelea kitu usichojua
tapatalk_1602690035112.jpeg
 
Jamaa wanahangaika kweli kweli, mara wajaribu Wikipedia, mara wajaribu gazeti, mara wajaribu World Bank.
Tazama boko ulilotoa leo yn ww huwezi maliza cku bila boko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1602690035112.jpeg
 
Siezikuwa na maumivu hata kidogo, nyinyi ndio mko na maumivi ya kuona kuwa paved roads za Kenya inadouble za Tanzania
Haitokuja kutokea...Mnaweka na unpaved roads..🤣🤣🤣 Sijui elimu iliwasaidia Nini...Na bado sindano tunazidi kuwachomeka...Miaka mitano ijayo mtakuwa mnachechemea...🤣🤣🤣
 
Jamaa wanahangaika kweli kweli, mara wajaribu Wikipedia, mara wajaribu gazeti, mara wajaribu World Bank.
Hahahaha mzizi wa fitina umefyekelewa mbali na WB, nilikuambia wanaowapa pesa za kujenga ndio wanaongea ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣😆🤣😆🤣

Hata aibu hamna middle finger mna vikilomita 11k 😆😆😆😆
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo ya hivi vidata vyao vinapikwa na kichwa maji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeangalia hk kipeperushi ndo naona maboko yanazidi kuongezeka yn paved badala ziongezeke zinapungua alafu unpaved badala zipungue zinaongezeka, inawezekana ardhi ni kiumbe hi kunakuwa na kufa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom