Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Hakuna hata chombo kimoja cha habari kinachozungumzia habari ya Kenya" [emoji23] [emoji23] how laughable! Usijifanye ulijiunga JF juzi. Ni mara ngapi mnashare habari za NTV, Citizen na KTN humu? Have you ever seen a Kenyan sharing information from your news channels? Nyinyi mnajua hadi majina ya magavana wetu pamoja na mawaziri hadi wake/mume zao hadi na watoto pia wakati mimi hata jina ya vice president wenu ndio sijui
Utakuwa mjinga kujiuliza kwanini tunashare kupitia vyombo vyenu vya habari...sababu jibu lake ni jepesi tu vyombo vyetu have no interest with your dummy stories
 
Utakuwa mjinga kujiuliza kwanini tunashare kupitia vyombo vyenu vya habari...sababu jibu lake ni jepesi tu vyombo vyetu have no interest with your dummy stories
But u just love watching and sharing those dummy stories wow
 
"Hakuna hata chombo kimoja cha habari kinachozungumzia habari ya Kenya" [emoji23] [emoji23] how laughable! Usijifanye ulijiunga JF juzi. Ni mara ngapi mnashare habari za NTV, Citizen na KTN humu? Have you ever seen a Kenyan sharing information from your news channels? Nyinyi mnajua hadi majina ya magavana wetu pamoja na mawaziri hadi wake/mume zao hadi na watoto pia wakati mimi hata jina ya vice president wenu ndio sijui
NTV ni chombo cha Tanzania?, ninakuambia hakuna TV ya Tanzania au gazeti litashughulika kuandika kile Kenya inafanya kwa ajili ya nchi wananchi wake. Tunashangaa kuona TV za Kanya na wakenya wanazungumzia kitendo cha Tanzania kuamua kuanzisha mnada wa kununua chai, Kenya inawahusu nini hadi mnalifanya kua ni habari muhimu huko kwenu?.

Kitendo cha Tanzania kuamua kuanzisha soko la chai, Kenya kinawshusu nini kama sio kwamba Tanzania inawakosesha usingizi?
 
Kuna ndugu yangu hapa ameniambia niwaruhusu muombe msaada hata kwa nchi yoyote EAC. Mulete kitu kama hii. Maana naona mnakomaa na underpass ya urefu wa mita 10. Wakati nayo ni daraja tu. Kama izi za kwetu. Leteni bridge kama iyo Nairobi na hata mkipata ya jirani leteni tu sisi hatuna shida.
Wakileta km hii kutoka ukanda wote wa kusini mwa Sahara..natema mzigo.
 
20201012_214504.jpg
 
Back
Top Bottom