Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kubali kuwa hamna underpass. Thanks for being honest [emoji23] [emoji23]
Pambana wee kubadili defn but u will end up here[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-12-11-25-45.jpeg
 
Kuna meli yake moja kubwa inaingiza mizigo mingi na Abiria inafanya Safari za Pemba na Unguja, alijaribu kuunganisha na Tanga, Mombasa, Pemba na Unguja lakini hakuna biashara ya kutosha akasimamisha, sasa hivi inapiga Safari za Pemba na Unguja tu.

Biashara ni mipango Bakhresa nao wanafanya biashara ya kimazoea wamebweteka hivi TRC wameanza juzi safari za Tanga-Moshi-Arusha na wanafanya vizuri, bakhresa wanapaswa kuangalia bidhaa gani wanaweza kusafirisha toka Tanga kwanda Zanzibar na kutoka Zanzibar kwenda Tanga. Mfano tiles, cement na lime (chokaa) toka Tanga na hata toka Mtwara ni cargo nzuri tu kama akiwaendea wahusika vizuri.
 
Unafikiri meli zile zikianza kwenda huko abiria watakuwa Waafrika? Wengi watakuwa watalii na amini usiamini italipa esp. with the kind of boats bakhresa and Turky have! Naskia GoK inawabania ku-protect route ya KQ Mombasa-Zanzibar kwa vile kama boat zikiruhusiwa in 2 hours upo zanzibar toka Mombasa kwa gharama 1/5 ya flight! Believe me watalii wengi wataenda na Seaboats hata wenye magari esp. private cars watapenda kutumia ferries kwenda Zanzibar! Zamani flying Horse wealikuwa wana route ya Dar-Znz-Mombasa!
Hizi Boats za Bakhresa ni kubwa sana zinahitaji abiria wengi kuzijaza, labda anunue ndogo kwa ajili ya watalii na bei iwe tofauti, lakini kwa kutegemea watanzania na wakenya, Mombasa, Tanga na Zanzibar hakuna abiria wengi, ndio sababu hata route ya Tanga Mombasa kuna bus chache sana.
 
Biashara ni mipango Bakhresa nao wanafanya biashara ya kimazoea wamebweteka hivi TRC wameanza juzi safari za Tanga-Moshi-Arusha na wanafanya vizuri, bakhresa wanapaswa kuangalia bidhaa gani wanaweza kusafirisha toka Tanga kwanda Zanzibar na kutoka Zanzibar kwenda tanga. Mfano tiles, cement na lime (chokaa) toka Tanga na hata toka Mtwara ni cargo nzuri tu kama akiwaendea wahusika vizuri.
Uchumi wa Tanga ulikufa kabisa, biashara kubwa ni Cement, chuma kutoka viwanda vya Tanga, na Mafuta yanayoshushwa bandarini kwenda mikoa ya Kaskazini ndio sababu trains zinapata mizigo.

Boats zinategemea Sana uchumi wa watu binafsi kufanya biashara ili waweze kusafiri kwa wingi, TANGA na Mombasa hakuna biashara ya maana sana kwahiyo hakuna kabisa volume kubwa ya wasafiri.

Ukifika pale mpaka wa Horohoro, hapako busy kabisa, watumishi wanasoma magazeti. Mfano mzuri ni usafiri kati ya Dar na Mafia.
 
Back
Top Bottom