Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Wataelewa tu nani King ukanda huu
Wataelewa tu nani King ukanda huu
Hii ni project kubwa sana, billion 700 sio pesa ndogo, litakamilika July 2023I was in Mwanza today and decided to take the ferry to witness the upcoming Kigongo-Busisi bridge construction. Big up to the JPM administration for all the massive infrastructure projects in the country. VIVA TANZANIA 🇹🇿 View attachment 1598882View attachment 1598883View attachment 1598884View attachment 1598885View attachment 1598886
Wewe lazima ni mgeni hapa jf. Wenzako wanajua Kenya in and out. Kuna siku nilishangaa wanashare majina za magavana wetu hadi nikashangaa. Cha ajabu ni kwamba wanajua hadi majina za mawaziri wetu. Wewe hapa umekiri unajua Ruto ( our deputy president) wakati mimi hata makamu wenu wa rais hata sijui ywaitwaje!Watanzania huwa hawana habari na viongozi wa nchi jirani kuna clip moja ililetwa humu watanzania nafikiri wa Arusha wanaulizwa kuhusu viongozi na watu mashuhuri wa kenya hawawajui kabisa ila wenzetu mnawajua watu mashuhuri wa Tz km wote.
Mm binafsi baadhi ya viongozi wa kenya nimewajulia humu mfano Ruto hata sura yake ckuwa naijua kabisa nimemfahamu humu Jf.
Wengine cjui kina joho cjui uchafu gn ndo cwajui ofcz hata vyama vya siasa vya kenya being honest cvijui na Wala huwa cjishughulishi kuvijua, na hivyo ndivyo tulivyo WaTz, tofauti na ninyi wenzetu mnajua vyama vyote Tz mpk vya kina Rungwe [emoji3][emoji3]
noma sana.....I was in Mwanza today and decided to take the ferry to witness the upcoming Kigongo-Busisi bridge construction. Big up to the JPM administration for all the massive infrastructure projects in the country. VIVA TANZANIA [emoji1241] View attachment 1598882View attachment 1598883View attachment 1598884View attachment 1598885View attachment 1598886
Truth to be told aside the barrier, i dont see any activities!THIKA ROAD BRT NOW UNDER CONSTRUCTION,,Uhuru na kazi kweli,constructions kila corner,big up to our prezo...
View attachment 1598901
View attachment 1598902
Kwhyo umekubali tuko mbele yenu mika 30[emoji23][emoji23]yani hawa watu ni washamba sijapata kuona[emoji23][emoji23] anatuonesha arena yenyewe ina miaka 30 alaf anajiona mjanja mwenyewe