Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchumi wa Tanga ulikufa kabisa, biashara kubwa ni Cement, chuma kutoka viwanda vya Tanga, na Mafuta yanayoshushwa bandarini kwenda mikoa ya Kaskazini ndio sababu trains zinapata mizigo.

Boats zinategemea Sana uchumi wa watu binafsi kufanya biashara ili waweze kusafiri kwa wingi, TANGA na Mombasa hakuna biashara ya maana sana kwahiyo hakuna kabisa volume kubwa ya wasafiri.

Ukifika pale mpaka wa Horohoro, hapako busy kabisa, watumishi wanasoma magazeti. Mfano mzuri ni usafiri kati ya Dar na Mafia.

Biashara ya utalii ipo kwa boat za kawaida! usianzishe league flying horse kabla ya kufilisika ilikuwa inaenda! hamna mtu anataka kulipa $300 kwa flight ya 45-60 min wakati anaweza kupanda boat kwa masaa mawili kwa gharama ya chini ya $50!
 
These are signs of accepting defeats.
Sasa kenya nitafutie kama hii nairobi, bridge..
images (7).jpeg
images (9).jpeg
images (8).jpeg
 
Mchina alikuwa anakwepa cost ya kujenga flyover apo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bila kufanya ivyo flyover zingekuwa nyingi...Huu ujinga wanao ufanya KE nimewai kuwambia TZ hatuutaki...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vizuuu sana hawa wakunya
 
Un
Atasema Nairobi hakuna bahari, ss mwambie atafute Kenya nzima akipata nitag.
Ajua izi mambo za underpass na some bridges huwa zinaletwa na geographical features ya sehemu angalia dar haina complication nyingi ndoma hata izi flyover tunajena kwajili ya foleni sio geographical problem ila sehemu nyngine huwa ni milima mingi kwa mfano mwanza,, ivi unafikiri mwanza ingekua kubwa kma dar na milima ile ingekua na bridges ngap? Overpass ngap na underpass ngap?? Obviously zingekua nying sana.
 
Kwahiyo ninyi kila kitu Tanzania inachofanya mnahisi lengo ni kushindana na Kenya?. Huku Tanzania ukiacha habari za Tanzania na Kenya kukwaruzana, hakuna hata chombo kimoja cha habari kinachozungumzia habari ya Kenya, sisi tunafanya mambo yetu vile tunavyopanga, kamwe hatuwazi kuhusu Kenya, ninyi hampati amani bila kuwaza Tanzania.
"Hakuna hata chombo kimoja cha habari kinachozungumzia habari ya Kenya" 😂 😂 how laughable! Usijifanye ulijiunga JF juzi. Ni mara ngapi mnashare habari za NTV, Citizen na KTN humu? Have you ever seen a Kenyan sharing information from your news channels? Nyinyi mnajua hadi majina ya magavana wetu pamoja na mawaziri hadi wake/mume zao hadi na watoto pia wakati mimi hata jina ya vice president wenu ndio sijui
 
Back
Top Bottom