Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ndio nyumba ambazo wakenya wanachukua picha ya mbaali wakijaribu kusngizia kuwa ni slums

1602356071412.png
 
Unajua wabongo(watanzania) tunashida (sijui niite shida au niiwekeje hii) moja inayotusababiisha mpka leo hii tunabishana na kenya kuhusu kijiji chao kile,vs dar es salaam..
Shida yenyewe ni pale ambapo tuna chukulia kila kitu simple namaanisha bongo leo hata ikitokea tukajenga jengo refu duniani hutaona kelele kwenye mitandao ata kwenye list nying za internet itakua ngumu kufika mpka muda upite au wao wenyewe washoboke lakini ndugu zetu wakijenga choo cha shule utasikia best in east and central, wakichimba shimo la maji machafu best in east and central na wanakaza shingo kama huwajui utazani kweli,, so kupitia iyo situation dunia inawaona ni bora kweli kwa sababu ya ilo neno lao la best in east and central. Natoa mifano michache hapa vhini. (bashiru alisema uongo ukiimbwa sana unakua ukweli na kenya wanatumia vizuri hii kauli na inawasaidia.)

Mlimani city..
Ivi kweli mlimani city yote ina 30k msqure yani unanambia ina urefu wa mita 200 na upana wa 150 by sketching?? Seriously?? Ingekua kenya mpaka parking na kila sehemu pale ingehesabiwa then waje na big in east and central ila ukweli ni kwamba lile jengo kama jengo( tena jengo 1) ndo lina square 30k yani hactre 3 ila mlimani city yote pamoja nao office zake na ukumbi parking na kila kitu ina square mita zisizopungua 200k.
yet bado hatusemi big in Africa.

Skyscrappers..
Ukiwasikia wakenya wanaongelea majengo marefu utazani wanamiliki newyork au labda paris. But ngoja nikwambie kitu mpka mwaka 2019 dar es salaam lilikwa jiji la pili kwa kuwa na skycrappers nyingi sub sahara africa baada ya johnsbg ambapo kwa namba dar ilikua na skyscrapers 3 za 150m+nyuma ya jhnsbg amabayo ilikua na majengo marefu ya 100+m yalikua 17, 150+m yalikua 4 na 200+m yalikua 2.. na dar es salaam ambao tunafuata tulikua na 100+m yalikua 8, 150+m yalikua 3. Hakuna nchinyingine ilikuepo tena katika sub saharan africa.. kiukweli watz hatukuongea na bado hatuongei.

Baada ya hapo kuna nchi zimekamilisha majengo yao wakiwepo kenya na list iko ivi. Still johnesbg anaongoza..
Dar es salaam anafuata tena akiwa na majengo ya 100+m yapo 13. 150+m yapo 4.

Nairobi 100+m yapo 9 150m+ yapo 3 200+m lipo 1.
Hapa pia hatuongei yani tunaonekana kama sisi ndio wanyonge.. kilicho badilika ni kwamba katika skycrapers sasa nairobi amekua wa 3. Baada ya johnsbg na dar.

Wabongo tuwe tuna update mambo yetu inasaidia sana kuongeza utalii.

Kumbuka internationally skycrapper ni jengo lenye urefu wa 150+..

#kuna mambo mengi ila naona bandiko limekua refu nitaongeza kesho nisiwachoshe..
Mtanisamehe sana kwasababu nimeshindwa kupachika picha na link kama source lakn nitajaribu kuweka chini..
 
Watakuwa wabeba flying toilets wa pale kibera, infact roads nyingi za kenya ni zina bad appearance cjui kwnn.
Ingekuwa bongo hao engineers wangeshaambiwa kitambo wabomoe wajenge upya halafu utasikia wakumbaf wakisema ni "udikteta"

Hivi hawakufikiria kabisa kuwa mvua ikinyeesha hizo kuta za udongo zitalainika kisha zimomonyoke!

IQ kubwa na elimu nzuri!
 
Unajua wabongo(watanzania) tunashida (sijui niite shida au niiwekeje hii) moja inayotusababiisha mpka leo hii tunabishana na kenya kuhusu kijiji chao kile,vs dar es salaam..
Shida yenyewe ni pale ambapo tuna chukulia kila kitu simple namaanisha bongo leo hata ikitokea tukajenga jengo refu duniani hutaona kelele kwenye mitandao ata kwenye list nying za internet itakua ngumu kufika mpka muda upite au wao wenyewe washoboke lakini ndugu zetu wakijenga choo cha shule utasikia best in east and central, wakichimba shimo la maji machafu best in east and central na wanakaza shingo kama huwajui utazani kweli,, so kupitia iyo situation dunia inawaona ni bora kweli kwa sababu ya ilo neno lao la best in east and central. Natoa mifano michache hapa vhini. (bashiru alisema uongo ukiimbwa sana unakua ukweli na kenya wanatumia vizuri hii kauli na inawasaidia.)

Mlimani city..
Ivi kweli mlimani city yote ina 30k msqure yani unanambia ina urefu wa mita 200 na upana wa 150 by sketching?? Seriously?? Ingekua kenya mpaka parking na kila sehemu pale ingehesabiwa then waje na big in east and central ila ukweli ni kwamba lile jengo kama jengo( tena jengo 1) ndo lina square 30k yani hactre 3 ila mlimani city yote pamoja nao office zake na ukumbi parking na kila kitu ina square mita zisizopungua 200k.
yet bado hatusemi big in Africa.

Skyscrappers..
Ukiwasikia wakenya wanaongelea majengo marefu utazani wanamiliki newyork au labda paris. But ngoja nikwambie kitu mpka mwaka 2019 dar es salaam lilikwa jiji la pili kwa kuwa na skycrappers nyingi africa baada ya johnsbg ambapo kwa namba dar ilikua na skyscrapers 3 za 150m+nyuma ya jhnsbg amabayo ilikua na majengo marefu ya 100+m yalikua 17, 150+m yalikua 4 na 200+m yalikua 2.. na dar es salaam ambao tunafuata tulikua na 100+m yalikua 8, 150+m yalikua 3. Hakuna nchinyingine ilikuepo tena katika africa.. kiukweli watz hatukuongea na bado hatuongei.

Baada ya hapo kuna nchi zimekamilisha majengo yao wakiwepo kenya na list iko ivi. Still johnesbg anaongoza..
Dar es salaam anafuata tena akiwa na majengo ya 100+m yapo 13. 150+m yapo 4.

Nairobi 100+m yapo 9 150m+ yapo 3 200+m lipo 1.
Hapa pia hatuongei yani tunaonekana kama sisi ndio wanyonge.. kilicho badilika ni kwamba katika skycrapers sasa nairobi amekua wa 3. Baada ya johnsbg na dar.

Wabongo tuwe tuna update mambo yetu inasaidia sana kuongeza utalii.

Kumbuka internationally skycrapper ni jengo lenye urefu wa 150+..

#kuna mambo mengi ila naona bandiko limekua refu nitaongeza kesho nisiwachoshe..
Mtanisamehe sana kwasababu nimeshindwa kupachika picha na link kama source lakn nitajaribu kuweka chini..
Kweli kabisa mkuu na nimekuwa nikiwaomba WaTz wenzangu humu tuwe na utaratibu wa ku publish hz mambo ili iwe wazi, mfano ubungo interchange ni 3level na iko pekeake East and Central of Africa lkn tutakaa kmy yn tunapotezea wangekuwa hawa jamaa tusingelala humu but nowadays WaTz wapo serious kupambana na hawa wajinga walioharibu mitandao kwa kujisifu uongo mpk baadhi ya WaTz waliamini uongo ila now wameanza kuwajua vzr hawa
 
Ingekuwa bongo hao engineers wangeshaambiwa kitambo wabomoe wajenge upya halafu utasikia wakumbaf wakisema ni "udikteta"

Hivi hawakufikiria kabisa kuwa mvua ikinyeesha hizo kuta za udongo zitalainika kisha zimomonyoke!

IQ kubwa na elimu nzuri!
Vichaa wawili wanadiscuss 😂 😂
 
Back
Top Bottom