tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Angalia hii video kijana @Teargas
Angalia hii video kijana @Teargas
Kijana, watu wanaitafuta Makutopora saiv wewe unaongelea hizo 300km za Dar-Moro? Inajengwa phase one na two kwa pamoja..700+km. Dar to Makutopora Singida.Hii yenu ni fupi. Kama Ethiopia wanaweza kujenga Sjiara ya 700 km kwa miaka mitatu mbona ninyi malazy mnachukua zaidi ya miaka mitatu kujenga 200 km?
Hiyo Mall haiezifikia Two Rivers Mall.Hii mall ni nzuri kuliko zingine apo kenya
[emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimeiangalia na haideserve kuitwa mall hata kidogo.
Uyo fala hana jipya ata ufanye nini atakuambia hamna kitu hapo.Check this video Teargass
Hiyo Milimani haifai kuitwa mall.Uyo fala hana jipya ata ufanye nini atakuambia hamna kitu hapo.
Usilinganishe Diesel SGR na Electric SGR...Ndo maana Mimi huwa na waita zero brain..Sisi tulichukua miaka mitatu kujenga phase one. Yenu ni 200 km phase one na mumeshindwa kuimaliza chini ya miaka mitatu.
Pole kwa maumivu[emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sizani Kama atakuelewa kwa elimu uliyompatia...Malls also can indicate the continual hijacking of the economy... We are building more community markets.. as the result we are the most inclusive economy in sub saharan Africa. On the other hand You (Kenya) and S.A are building more shopping centers and Gated communities and you have Hustlers Thingy in Kenya and Xenophobia in SA. simply because of frustrations of not owning your own economy... Choose wisely.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nakuhurumia hujui ulisemalo.Pole kwa maumivu
Huyo Ni zero brain...Muelimishe kidogo kidogo..Tony hata hesabu ndogo km hii pia inakusumbua? Nimekwambia tumeanza kujenga 2017 na ni ndefu mno ss huu ni mwaka 2020 hyo zaidi ya miaka 3 inatokea wapi?
Jihurumie.Nakuhurumia hujui ulisemalo.
Video umeiona?Hiyo Milimani haifai kuitwa mall.
Inaonyesha nje tu.Video umeiona?
Ww ni mjinga na ni mshamba sn so hii co mall ni kitumbua chako hiki [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Hiyo Milimani haifai kuitwa mall.
Okey kua mpoleInaonyesha nje tu.
Hii bado haitosha mboga. Please enjoy Village MarketWw ni mjinga na ni mshamba sn so hii co mall ni kitumbua chako hiki [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1595757View attachment 1595758View attachment 1595759View attachment 1595760View attachment 1595761View attachment 1595762View attachment 1595764View attachment 1595765View attachment 1595766View attachment 1595767View attachment 1595768