The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hahahaaa unabadilisha comment kadri uwezavyo, maamaee lazima mtiiSasa unataka tufanyaje? Tupigie radi makofi ama?




Hahahaaa unabadilisha comment kadri uwezavyo, maamaee lazima mtiiSasa unataka tufanyaje? Tupigie radi makofi ama?




Sisi ni wachawi tena wachawi kweli kweli c umeona nguvu zenu zootee za tangu uhuru tumezipita kwa only 4 yearsDawa ya nini? Ya uchawi ama ya ukichaa?






Hiyo siyo CBD kaka, hapo ni Jangwani na Kariakoo.
Wewe kiswahili chako tu ndio kizuri ila sikubaliani na ulichoandika.Ww kwel sio muelewa kitu kinachohitajika n nchi kuwa na umeme wa kutosha ili kuendana na Kasi ya maendeleo ya taifa sasa kama Tanzania xaxa hv wanaweza kugenerate umeme mwing had ukazid n xawa ndio jambo zur coz inawezekana kabisa hata kuuzia nchi jiran zenye uhaba wa umeme, Ila sio kwa hoja hyo unayoisema eti utabak hapo umefeli jenga hoja vizur umechemka hapo
Hahaha. Asante kwa kuangamiza hawa watu. CBD yao imeparara aisee. HeheTime zone tafuati. wewe uko macho uliza ka silali. Cbd- central business district
View attachment 1595425
Wewe acha ku troll, hapo siyo CBD, hiyo ni Kariakoo. Kama huujui mji omba ufahamishwe. Wengine tumezaliwa na kukulia hapo CBD, ukijifanya mjuaji tunakupiga ngeta.Time zone tafuati. wewe uko macho uliza ka silali. Cbd- central business district
View attachment 1595425
Nyie mkitroll Nairobi Cbd kwa kuweka picha ya Kibera mnadhani huwa tunahisi vipi? At254 endelea kuweka mafuta kwenye moto. Hawa lazima watuwakarange.Wewe acha ku troll, hapo siyo CBD, hiyo ni Kariakoo. Kama huujui mji omba ufahamishwe. Wengine tumezaliwa na kukulia hapo CBD, tuko proud sana na jiji hilo.
Tatizo siyo kuonesha sehemu bali kutaja sehemu ambayo siyo. BTW, jak je praha?Nyie mkitroll Nairobi Cbd kwa kuweka picha ya Kibera mnadhani huwa tunahisi vipi? At254 endelea kuweka mafuta kwenye moto. Hawa lazima watutambue.
Malls ni mambo ya kizamani bana, walioyaanzisha hayo ma-malls wanayafunga. Halafu wabongo sio watu wakuiga vitu, mbona sisi tuna masoko ya kisasa mengi kuliko nchi yoyote A. Mashariki?Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
Ulikuwa unamanishaWhy are crying?
"why are you crying" acha kuandika kwa kukimbiaAcha kulialia apaYaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
Praha byl dobra. Ja jsem v Nairobie. Ale minuly rok ja byl v Prahy. Yaani umenishangaza sana. Vipi unaifahamu hio lugha? Kwani uliishi huko? Ama wewe ndio Toyota escudo maana nikiwa huko niliongea na Toyota Escudo hapa JF akaniambia kuwa ameishi huko.Tatizo siyo kuonesha sehemu bali kutaja sehemu ambayo siyo. BTW, jak je praha?
Malls ni mambo ya kizamani bana, walioyaanzisha hayo ma-malls wanayafunga. Halafu wabongo sio watu wakuiga vitu, mbona sisi tuna masoko ya kisasa mengi kuliko nchi yoyote A. Mashariki?
Fungueni hiyo mall angalau muwe na malls mbili? Hehehe.
Hizi hapa mbili,zingine zinakuja jirani.Fungueni hiyo mall angalau muwe na malls mbili? Hehehe.
Hapana mimi siyo huyu jamaa, wa Czech pamoja na wa Polish niliwafahamu nikiwa Chicago. Mademu wa Czech wengi huwa wana natural beauty.Praha byl dobra. Ja jsem v Nairobie. Ale minuly rok ja byl v Prahy. Yaani umenishangaza sana. Vipi unaifahamu hio lugha? Kwani uliishi huko? Ama wewe ndio Toyota escudo maana nikiwa huko niliongea na Toyota Escudo hapa JF akaniambia kuwa ameishi huko.