Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kunipuuza, huna la kusema sababu ni ukweli mchungu
Hata kama ni kweli, wewe kuleta roho mbaya kwenye mjadala inakusaidia na nini? Hio ina maana kuwa huna haja ya kujadili hoja, wewe una haja ya kunichokoza lakini sichokozeki. Wacha nideal na watu wanaotaka kujadili hoja iliyopo mezani.
 
Barabara za Kenya si za kitoto aisee

View attachment 1579637
tapatalk_1578285008848.jpeg
tapatalk_1590907277269.jpeg
tapatalk_1581493170687.jpeg
 
Mimi siongei kuhusu transmission lines. Transmission lines ni rahisi kujenga. Mimi naongea kuhusu mradi wenyewe. Huo mradi wa Nyerere hydro itachukua miaka kumi kukamilika, that is, kwa bahati nzuri ikiwa haitakufa kifo cha mende.
Hata ikikamilika itagenerate 2,000 MW na total power generation itakuwa 3,500 MW. Huu mradi ni white elephant kwa sababu demand ya umeme TZ ni 1,500 MW sasa hivi na miaka miwili zijazo itakuwa pengine 1,700 MW. Sasa mradi huu utakapozinduliwa miaka miwili zijazo, TZ itakuwa inagenerate 3,500 MW ilhali nyie mtakuwa mnatumia 1,700 pekee na kupoteza 1,800 MW. Hio ni kutupa pesa. Nchi yenu haina viwanda vya kutosha ili kujustify kujenga hydropower kubwa hivyo. Mtavuja pesa sana. 80% ya hio power haitatumika.
😂😂😂 Mbona umejaa chuki sana? Kwani vyote tunafanya kwa ajili ya demand ya umeme ya Tanzania pekee? Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa “kuuza umeme?”
 
Unaposema kwamba hizo MW zitapotea,hivi hujui malengo moja wapo wa mradi huu ni kuuza nje umeme?hivi hata Kama hamna viwanda vya kutosh kwa Sasa,nani alikwambia TZ haitajenga viwanda zaidi ya hivi vilivyopo na kutumia huo umeme?
 
Hata kama ni kweli, wewe kuleta roho mbaya kwenye mjadala inakusaidia na nini? Hio ina maana kuwa huna haja ya kujadili hoja, wewe una haja ya kunichokoza lakini sichokozeki. Wacha nideal na watu wanaotaka kujadili hoja iliyopo mezani.
Hahahaha penye udhaifu ndipo panapouma, kama Tanzania ingekua na hayo maisha mngetuandama mpaka tukome humu ila sababu hayo maisha ya aibu na fedheha mnayo ninyi pekee enu ukanda huu ndio unasema kwamba ni chuki! 😂😂😂

Hiyo ni aibu yenu wala haitaondoka mpaka mtakapopata akili ya Kudeal na vitu serious.
 
Unaposema kwamba hizo MW zitapotea,hivi hujui malengo moja wapo wa mradi huu ni kuuza nje umeme?hivi hata Kama hamna viwanda vya kutosh kwa Sasa,nani alikwambia TZ haitajenga viwanda zaidi ya hivi vilivyopo na kutumia huo umeme?
Tanzania viwanda vikubwa karibu vyote vinatumia gas, kama viwanda vyote vingekua vinatumia umeme matumizi yangezidi maradufu ya Kenya, ila sababu vingi vinatumia gas asilia ndio maana inaonesha matumizi ya umeme viwandani ni madogo.
 
View attachment 1579954
Hiyo freeway ni ya kiwango cha chini (ina design flaw), mfano angalia kwenye ku merge/exit hapo, ni pafupi sana. Fikiria magari matano ya exit kwa pamoja, si yataleta foleni au hata ajali? Au hii ndiyo sababu Nairobi kuna foleni sana?
Hii ni international design. Sitegemei wewe mkaazi wa Dar slum uielewe. Hakuna foleni itakayofanyika maana barabara yenyewe ina leni tatu. Dereva anayeendelea na safari anaweza kutumia leni mbili zilizobaki, sio lazima atumie leni ya nje ambayo magari za exit na entry zinatumia. Kama ungekuwa dereva shupavu ungeelewa kuwa hilo leni la nje kabisa hutumika na magari zinazotaka kuingia na kutoka. Halafu magari zinazoendelea na safari huwa zinatumia leni mbili za ndani. Sijui kama umenielewa. Najua huko kwenu hamna barabara za leni tatu kama hizi. Nyie mumezoea leni mbili.
 
😂😂😂 Mbona umejaa chuki sana? Kwani vyote tunafanya kwa ajili ya demand ya umeme ya Tanzania pekee? Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa “kuuza umeme?”
Mtauzia nchi ipi na kila nchi ukanda huu inajitosheleza katika kuzalisha umeme? Endeleeni kujidanganya kwamba mtauza.
 
Usitengeneze information from nowhere kujitetea. Nani kasema ukanda huu umeme unatosha? Who the hell do you think you are to speak on behalf of nations? For all I know, Kenya does purchase electricity from both Uganda And Ethiopia.
 
Back
Top Bottom