Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani kuna serikali gani afrika isiyoomba

Nchi zote za afrika ni ombaomba ila inategemea unaombaje
Africa-UN.jpg

are you seeing your peers there???
 
Ldc countries ndio zinaomba. We unaona Kenya ni masikini kama nyinyi???
Kama sio maskini ingejenga sgr kwa pesa zake na sio mkopo.....budget yenyewe munategemea musaidiwe na wazungu😀😀😀😀
Njaa imewakabili mpaka mumeomba Msaada unafanya mchezo wewe
 
Nakwambia robo ya kenya ni ya kenyatta na family yake....😀😀😀😀😱😱
Kenya for kenyattas only .

AkimaliA Uhuru atakuja jomo kenyata Jr then Java Kenyatta halafu vitukuu vyao au inashift kwa kibaki family au Moi family wakalenjin wataishia kuwa DP tu nchi Wa wagikuyu.

So sad
 
haha unaona kitu naona apo??? darisslum iko chini ya kampala na msee anadai kuilinganisha na Jozi. hahaha... these bongolalas will kill me one day
Iko chini ya kampala au sio😀😀😀😀😀
 
Kenya for kenyattas only .

AkimaliA Uhuru atakuja jomo kenyata Jr then Java Kenyatta halafu vitukuu vyao au inashift kwa kibaki family au Moi family wakalenjin wataishia kuwa DP tu nchi Wa wagikuyu.

So sad
Hawana ardhi yakujenga yote iko chini ya kenyatta na politicians......
1787ed3fb202752ffe6152fcd5d12e10.jpg
 
Hawana ardhi yakujenga yote iko chini ya kenyatta na politicians......
View attachment 526616
Daaaah hahahahah wakenya bhana sasa waache viherehere kenya ardhi INA wenyewe.

Halafu kwenye vikao vya EAC wao na Rwanda wanashinikiza sana kwa ardhi ya EAC imilikiwe na wananchi wote target yao ikiwa Tanzania sababu wanajua huku ardhi ni bwere na huko kwa population inazidi na kieneo kidogk wanabanana .

Nyambafff tumeshtukia mtabanana humo humo .

Tunapowaambia Tz ni big brother wenu mnazingua sana

Soon or later tutaelewana tu kwa hizi project zetu zinazofanyika hapa mtaisoma namba
 
Kama sio maskini ingejenga sgr kwa pesa zake na sio mkopo.....budget yenyewe munategemea musaidiwe na wazungu😀😀😀😀
Njaa imewakabili mpaka mumeomba Msaada unafanya mchezo wewe
Sijui anapoadikaga humu huwa anadhani yupo labda pale bay area Oakland California kumbe yupo inner part of mathare au korogocho ama kwwnye dormitory ya mwanaume Fulani.
 
Hawana ardhi yakujenga yote iko chini ya kenyatta na politicians......
View attachment 526616
approximately the size of Nyanza Province it is. The Yellow shaded part is the Nyanza Province. You have to be Kenyan to understand the phrase "Who Owns Kenya". It could be anyone including a person running a vegetable kiosk provided you make a living out of it. Now if you thought Nyanza province was that Big then the joke is on you. These are the things that make Kenyans LOL at your faces by prooving to them how dumb all of you can be claiming you know more about Kenya than the native Kenyans. Clap at yourselves.
220px-Kenya_Provinces_numbered.svg.png
 
Back
Top Bottom