ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Husika kwanza hapo chini😀😀😀😀😀Jitofautishe na mtot wa kike au na wew unavizia mida ifike ukasimame pale sinza makaburini
10 Of The Biggest Slums In The World
Husika kwanza hapo chini😀😀😀😀😀Jitofautishe na mtot wa kike au na wew unavizia mida ifike ukasimame pale sinza makaburini
narrow minded foolJitofautishe na mtot wa kike au na wew unavizia mida ifike ukasimame pale sinza makaburini
Haina jipya
Hivi watanzania sehemu pekee mnayoijua kwenye jiji la nairobi ni kibera..nimefuatilia post za watu wengi wanakomalia kibera tu..ina maana mkitoka bongo mnaendaga kibera tu?? Mbona hata kwa mtogole, tandare kuna maisha ya hali ya chini sana au wabongo mkitoka mikoani mnaishiaga ubongo na posta tu???..kiukweli NAIROBI ipo mbali Dar es salaam
That's very obvious. .....
narrow minded fool
lugha inawenyewe hio,ona ulivoandika pumbaBetter be a fool than being a wife of a fool
wewe nadhani huna kazi maalum ya kufanya huko nairobi.mda wote unawaza ku-engage na watz.Ebu twende Nairaland tufungue Dar vs Johannesburg kuna jamaa ame suggest tutasaidia mandugu zetu
tena siyo hohannesburg ni qatarWabongo kwa kujazana tu ujinga hamjambo eti Dar es salaam vs johannesburg
Kibera watu million 1 nazaidi
![]()
Korogocho watu 200k (laki mbili)![]()
Mathare watu 180k (laki moja na themanini)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wewe nadhani huna kazi maalum ya kufanya huko nairobi.mda wote unawaza ku-engage na watz.
huo mda wa kushinda huko nairland kutafuta vita na watz bora uutumie kutafakari mbinu za kukusaidia kuachana na u-jobless.
Izo getto ziko dope Au ulikua unamanisha nn?Kadoda houses in Nairobi are dope. What you are posting here cannot compete with Rural Kenya. Dar has tried but still it has a long way to go
hahahahaIzo getto ziko dope Au ulikua unamanisha nn?![]()
Walking around Kariakoo, grabbing a pizza at Mkuki House mall.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kadoda houses in Nairobi are dope. What you are posting here cannot compete with Rural Kenya. Dar has tried but still it has a long way to go
Eeeh Kibera, mathare, korogocho to name few, claiming dar is slum while you have several and biggest across globe won't change the fact eitherHonest Tanzanians who have been to Nairobi know how dope Nairobi is.These ones over here are just pretending to put on a brave face....no one can take that away from the MIGHTY NAIROBI. .....posting a hundred photos of kibera won't change that.