ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Simu ya torch
Simu ya torch
Jangwani msee.. mbona unapanikiHvi nikuulize hii pic hapa ni wapi maana naona munapost hapa ni wapi???????😀😀😀😀😀
haha. kitu ka io. huwezi tamani kupigiwa simu ukiwa ndani ya ma3Simu ya torch
Kijitonyama unapajua au unajiandikia tu?jieshimu,nionyeshe slum apo...usipazimishe tufanane bana nyie mmeshaharibuhii inauma... vingunguti, buguruni, tandale, kijitonyama, manzese... the names alone can scare a scarecrow... eew
View attachment 526650
All slums are 6% serious?????😀😀😀😀😀6% of 696km^2 against 92% of 1590.05km^2...
i give up
Iyo picha sio dar jangwani hapako ivyo be realisticJangwani msee.. mbona unapaniki
Hvi we jangwani unaijua ilivo????Jangwani msee.. mbona unapaniki
Namshangaa hata simuelewi maana jangwani ni mto mkubwa wa msimbazi😀😀😀😀Iyo picha sio dar jangwani hapako ivyo be realistic
Mbona njaa mumeshindwa kupigana nayohaha. kitu ka io. huwezi tamani kupigiwa simu ukiwa ndani ya ma3
Hapo umeona slum😀😀😀😀😀hii inauma... vingunguti, buguruni, tandale, kijitonyama, manzese... the names alone can scare a scarecrow... eew
View attachment 526650
mbona unalia 😀 😀 😀Hvi we jangwani unaijua ilivo????
Basi nakupa taarifa hio picha sio dar na hakuna sehemu ya dar iko hvo😀😀😀😀😀
Kwenye ukweli sema ukweli tu
Hio ndio kijitonyama bongoKijitonyama unapajua au unajiandikia tu?jieshimu,nionyeshe slum apo...usipazimishe tufanane bana nyie mmeshaharibu![]()
Kenya is a middle income economy... anything money can buy we buyMbona njaa mumeshindwa kupigana nayo
😀😀😀😀😀 ila simu ya torch mumeweza
Naulizia njaa mbona mumeshindwa kupigana nayoKenya is a middle income economy... anything money can buy we buy View attachment 526655
waKenya wangapi walioathirika na njaa?Naulizia njaa mbona mumeshindwa kupigana nayo
Usikwepe swali jibu swali??????? 😀😀😀😀
Unaniuliza mm au nikuulize wewe?????waKenya wangapi walioathirika na njaa?
Muda niliokaa Kenya haunipi haki ya kusema naijua sana Kenya but the time i've lived with Kenyans naweza kujipa haki ya kusema nawajua wakenya with their personalities, Native Kenyan Lewis, wewe ni wa kabila gani?idiot ni wewe na wabongolala wote pretending you know more about Kenya than the native Kenyans.
All slums are 6% serious?????😀😀😀😀😀
Hebu tuone ni kweli tuangalie area ya city center na slums area in nairobi ambayo ni 696 kmsq
View attachment 526651
Hvi tukiwa hatuna macho hatuwez kupapasa tukajua kwa mahesabu yangu ya haraka haraka city center haivuki hata 100km sq so 596 kmsq is slum.......😛😛😛😛😛😛
ok lemme answer you. its 3% of 45million. that is 1.5m.Unaniuliza mm au nikuulize wewe?????
😀😀😀😀😀😀😀😀 kwa kifupi ni janga la taifa zima......