Napenda watu wakikubali ukweli ivo.Hio ni view ya mtaa wa kimasikini Dar es salaam.
Naomba uoneshe na view ya mtaa wa kimasikini Nairobi.
An entire city 1500 km sqis this a mtaa or a whole district?
Ni pesa ngapi basi?Hvi we unaijua 20 billion usd?????? 😀😀😀
Naona hua unaropoka tu
Kumbe hujielew bado
Na uniletee source kua 20billion usd imeekwa na wakenya tanzania na sitakuachia juu ya hili mpaka tufunge biashara na mm na wewe
Sitakuachia mpaka uniletee source inayotambulika tafadhali usizuge wala kuzunguka huku wala kule nachotaka source tafadhali????😀😀😀😀Ni pesa ngapi basi?
We nipe source ya kupinga. With a proposition you come with a counter oppossition, not pure informal rantSitakuachia mpaka uniletee source inayotambulika tafadhali usizuge wala kuzunguka huku wala kule nachotaka source tafadhali????😀😀😀😀
Usizungushe mada tafadhali sana ndio maana nilikwambia leo mm ntazaa nawewe unioneshe 20 billion usd za kenya kwa tanzania....tusije kuaibishana bure tafadhali😀😀😀😀😀We nipe source ya kupinga. With a proposition you come with a counter oppossition, not pure informal rant
Eti 20 billion usd 3.2 billion usd ya sgr mumekopa kwa wachina itakua hio 20 billion usd😀😀😀😀😀We nipe source ya kupinga. With a proposition you come with a counter oppossition, not pure informal rant
Nakwambia robo ya kenya ni ya kenyatta na family yake....😀😀😀😀😱😱Nimewahi kusikia Tetesi kwamba 50% of arable land in Kenya is owned by approx 8000 people ....je ni kweli hili Wa Kenya?
Nakwambia robo ya kenya ni ya kenyatta na family yake....😀😀😀😀😱😱

Maskin uchumi mkubwa ulioshikwa na mabepali wachache ..disadvantages of settler economy