Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are 10 years behind us. Three-level interchange tulijenga in 2010.
Thika superhighway completion set for June - Capital Business
So far, two sections of the three-level Pangani interchange are operational, servicing Forest Road, Thika Road, Murang’a Road and Ring Road Ngara, as well as the recently opened Muthaiga underpass.
Hiyo thika road aifikii BRT,sie tunaendeleaje na ujenzi wa BRT phase ya pili,nyie mna miaka kama 100 hivi kupata brt,kuhusu iko kithika road kimara to kibaha 8 lanes iko final touch
 
hawana akili yani wanataka sehemu waliposhindwa eti na sisi tushindwe haiwezekani 😂😂😂 hata kwenye slum utakuta mtu analazmisha ilimradi tufanane tu
Hatuwezi fanana kamwe, mko juu ya Kenya kwa domo domo na fikra tu. tazama vile your second city to Dar imechakaa, compare with Kenya's 5th largest city(not official yet, bado ni town) ya wana riadha., residential pekee can level with Dar!

Nimetafuta kila mahali Mwanza, checked pictures, video clips lakini wapi!!!, Am no longer interested na domo domo zenu, empty rhetorics, na kwa ground vitu ni different..,

Uongo sipendi!

MWANZA (2nd City in Tz).,




VS
ELDORET(5th Town in Kenya)


 
Hiyo thika road aifikii BRT,sie tunaendeleaje na ujenzi wa BRT phase ya pili,nyie mna miaka kama 100 hivi kupata brt,kuhusu iko kithika road kimara to kibaha 8 lanes iko final touch
Tena umeruka kutoka three level interchange hadi kwa BRT? Hata hiyo BRT inajengwa but as of now, we have better system than your BRT.
images (20).jpeg
55414559_HzucRp6Upf4tjYyf-GpDP59XjE68U52TELExEkLfglY.jpg
syokimau.jpg
 
maliza matongotongo yako hapa😂👇👇


Thank you for video the way to go, a clear perspective, CBD surrounded na flats crammed in one big area, not even many quality apartments,. Dar ni Lagos ya East Africa, hakuna ubishi.

Hii na ipea Parklands, Westlands, Ngara areas., look at the quality comparison to Lagos ya EAC., and that is the whole better Developed area ya Dar., 😂 😂😂


 
Hiyo thika road aifikii BRT,sie tunaendeleaje na ujenzi wa BRT phase ya pili,nyie mna miaka kama 100 hivi kupata brt,kuhusu iko kithika road kimara to kibaha 8 lanes iko final touch
Just imaging thika road ni 10-12 lane,,BRT construction has already started,hio kibaha ni juakali type tu,thika road has may underpass, overpass, interchanges, na flyovers,, je kibaha iko na hizi zote???
Meanwhile BRT proposal for Thika road...

photo_2020-09-18_21-08-09.jpg
photo_2020-09-18_21-08-22.jpg
photo_2020-09-18_21-08-15.jpg
photo_2020-09-18_21-07-43.jpg
 
miji yenu yote imekaa ki-vumbi-vumbi sana kama mkoa wa kigoma
Outside Dar kiukweli hakuna yenye inaweza level na Eldoret 5th largest., pia Kiambu na Thika residential pekee inatoa Dar kamasi., mko na domo domo sana., this time round hakuna domo domo ni dhibitisho tu.,

Outside Dar, hakuna comparison., just a few., sijaweka akina Mombasa, Nakuru na Kisumu.,
Real estate around Kiambu.,






Kericho.,



(KENYA: GDP YA KWENYE MAKARATASI KWELI)
 
Back
Top Bottom