Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,218
- 4,043
Hata sasa hivi tunadhiirisha hilo .....Wakunya wanazamia sana Tz, boby.Ahsante sana Jirani!
We are actually doing this for all of us in East Africa... Tunasogeza destination ya kuzamia...
Miaka kumi ijayo Vijana wenu wakitoroka mnakuja tu hapa kwa basi, mnawakuta .. sio mpaka waende Bondeni au Kwa Papa Trump ,,
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app






