ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
inachekesha leo kuoma madaktari hawalipwi mishahara alaf munakaa munakunya humu eti sisi GDP kubwa sasa hio GDP yenye madeni asilimia 70% inasaidia nn πππSasa nchi ikiwa na industrial strikes ina maana mumewapiku ama GDP yao ni hafifu? this is a common occurrance ata in developed economies across the globe, KNH wanalalamika serikali haijatimiza makubaliano ya maktaba ya nyongeza ya mishahara πππππππ , and for your information nina hakika mishahara yao kwa sasa ni zaidi ya wale wenu, na bado wanalia liaπππ you are too pedestrian in your argument, nilikuambia ukachukue application form ya Dodoma Uni then DM me ndakulipia karo, mambo ya uchumi uko ovyo, stick to your lane ya mapicha babyππππ unaletea Tz aibu.
munawaza mambo makubwa wakat mambo madogo yanawatoa uharo
eti nakuandalia karo kwa pesa gani ulionayo ww ππππ munachukulia kila mtu simple sana humu ndani

