Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa...
MOMBASA.jpg

Hapa tukiweka three buildings na BRT, ni Dar
 
Hata tarehe ya mazungumzo haijapangwa lakini Ethiopia anaendelea kujaza dam, lengo la Egypt ni kuilazimisha Ethiopia kusubiri kwanza wafikie makubaliano ndio wajaze hilo bwawa, kumbuka kwamba mazungumzo yamefanyika kwa miaka zaidi ya minne bila kufikia muafaka.
The Ethiopian-Egyptian Water War Has Begun

Mvutano mkubwa upo kwenye kipindi cha kujaza hilo bwawa. Ndio bado hapajapatiwa ufumbuzi. Ethiopia anavyojaza bwawa saivi bado yuko katika good track maana amegawanyisha kujaza hilo bwawa katika stage sita ambazo zitachukua miaka 6. Hivyo hapo Misri anamuangalia tu jinsi anavyojaza hadi pale atakapo ona mtiririko haupo vizuri ndio watakaa. Kumbuka wanajaa kwa kasi saiv maana huko Sudan na Misri saiv wako kwenye mafuriko makubwa baada ya kingo za mto Nile kupasuka kutokana na wingi wa maji kwa mvua zilizonyesha hivyo kwa sasa kuna excess water, wacha wayatumie kwa faida kwa sasa maana hayana pa kwenda.

Na Misri haiwezi ku-risk kuingia vitani na Ethiopia, maana lazima wafikirie repercussions baada ya kupiga hilo bwawa bomu lazima wakumbuke chanzo cha maji yao kitakuwa bado kipio hapo hapo Ethiopia, sasa Ethiopia atayaangalia tu hayo maji yakienda Misri ilihali itakuwa imeharibiwa bwawa lake la billioni za dollar? Hapo diplomasia ndio itatumika zaidi.
 
ni level ya mwanza hata hvo mwanza its modern city haina uchafu huo 😂😂😂
Unapenda kujichocha sana na ukweli uko wazi, 😂 😂😂,
Mwanza ata Uchumi wa Thika na real estate inailemea😂😂😂😂😂
Watch Thika hapa👇 kisha compare.,
 
Attachments

  • Aerial view of Mombasa Town [hHHWyO01mr0].mp4
    43.3 MB
Mvutano mkubwa upo kwenye kipindi cha kujaza hilo bwawa. Ndio bado hapajapatiwa ufumbuzi. Ethiopia anavyojaza bwawa saivi bado yuko katika good track maana amegawanyisha kujaza hilo bwawa katika stage sita ambazo zitachukua miaka 6. Hivyo hapo Misri anamuangalia tu jinsi anavyojaza hadi pale atakapo ona mtiririko haupo vizuri ndio watakaa. Kumbuka wanajaa kwa kasi saiv maana huko Sudan na Misri saiv wako kwenye mafuriko makubwa baada ya kingo za mto Nile kupasuka kutokana na wingi wa maji kwa mvua zilizonyesha hivyo kwa sasa kuna excess water, wacha wayatumie kwa faida kwa sasa maana hayana pa kwenda.

Na Misri haiwezi ku-risk kuingia vitani na Ethiopia, maana lazima wafikirie repercussions baada ya kupiga hilo bwawa bomu lazima wakumbuke chanzo cha maji yao kitakuwa bado kipio hapo hapo Ethiopia, sasa Ethiopia atayaangalia tu hayo maji yakienda Misri ilihali itakuwa imeharibiwa bwawa lake la billioni za dollar? Hapo diplomasia ndio itatumika zaidi.
Sio kweli unayosema kaka, mvutano mkubwa upo katika maeneo yafuatayo
1)Kipindi cha kujaza bwawa, Egypt na Sudan wanataka kati ya miaka 12 hadi 21, Ethiopia anataka Mika 6.
2)Kiwango cha maji ambacho Ethiopia watakiachia kipindi cha kiangazi, Egypt wanataka kisiwe chini ya Mita za ujazo 40B, Ethiopia inataka 29B.
3) Hayo makubaliano yakubalike na kusainiwa kuwa yawe ni mkataba wa kimataifa, Ethiopia hataki usainiwe kuwa mkataba wa kimataifa, anataka yabaki tu kuwa ni makubaliana ya nchi kwa nchi.
 
dar hakuna uchafu kama huo hata mwanza huwez pata uchafu huo mark my words😀
Wacha ushenzi. Hamna city Afrika Mashariki yenye density kubwa ya majumba kushinda Mombasa. Kwa density namaanisha majumba mengi katika space kidogo. Umeshawahi kuitazama Mombasa kupitia satellite?
 
Sio kweli unayosema kaka, mvutano mkubwa upo katika maeneo yafuatayo
1)Kipindi cha kujaza bwawa, Egypt na Sudan wanataka kati ya miaka 12 hadi 21, Ethiopia anataka Mika 6.
2)Kiwango cha maji ambacho Ethiopia watakiachia kipindi cha kiangazi, Egypt wanataka kisiwe chini ya Mita za ujazo 40B, Ethiopia inataka 29B.
3) Hayo makubaliano yakubalike na kusainiwa kuwa yawe ni mkataba wa kimataifa, Ethiopia hataki usainiwe kuwa mkataba wa kimataifa, anataka yabaki tu kuwa ni makubaliana ya nchi kwa nchi.

Uko sawa mkuu.

Ila point namba moja na namba mbili hapo ndio hiyo hiyo inajibiwa na swala la kipindi cha kujaza hilo bwawa. Kwamba Ethiopia waki extend kipindi cha kulijaza bhas huo utiririkaji wa maji kipindi cha kiangazi utafikia huo ujazo wa 40B, ila waki force kwa mioaka 6 ndio kutapungua sana kupatikana maji na hata ukame kabisa.

Halafu Ethiopia anavyojaza saivi ni kwa sababu ya mafuriko yaliyopo, maji ni mengi sana hata kiasi cha kuleta mafuriko huko Sudani na Misri. Sasa aache kuyajaza hayo maji saiv asubirie makubaliano? Yani aachie maji yakipotea tu hovyo bila sababu wakati ako na mahali pa kuyahifadhi? Na hiyo kukataa ku-sign makubaliano ni janja janja tu na delay techniques..wako kwenye bargaining hapo.. so unaweza kushangaa wakakubaliana kwa pamoja bwawa lijazwe in ten years na wakatiliana saini. Hapo hizi chokochoko zinatengeneza mazingira ya mutual agreement.
 
Mvutano mkubwa upo kwenye kipindi cha kujaza hilo bwawa. Ndio bado hapajapatiwa ufumbuzi. Ethiopia anavyojaza bwawa saivi bado yuko katika good track maana amegawanyisha kujaza hilo bwawa katika stage sita ambazo zitachukua miaka 6. Hivyo hapo Misri anamuangalia tu jinsi anavyojaza hadi pale atakapo ona mtiririko haupo vizuri ndio watakaa. Kumbuka wanajaa kwa kasi saiv maana huko Sudan na Misri saiv wako kwenye mafuriko makubwa baada ya kingo za mto Nile kupasuka kutokana na wingi wa maji kwa mvua zilizonyesha hivyo kwa sasa kuna excess water, wacha wayatumie kwa faida kwa sasa maana hayana pa kwenda.

Na Misri haiwezi ku-risk kuingia vitani na Ethiopia, maana lazima wafikirie repercussions baada ya kupiga hilo bwawa bomu lazima wakumbuke chanzo cha maji yao kitakuwa bado kipio hapo hapo Ethiopia, sasa Ethiopia atayaangalia tu hayo maji yakienda Misri ilihali itakuwa imeharibiwa bwawa lake la billioni za dollar? Hapo diplomasia ndio itatumika zaidi.
Ethiopia wanaweza kuyatia maji sumu. Sasa nashindwa mbona joto la jiwe anadhani hii mambo ni rahisi tu. Egypt lazina ajichunge maana Blue Nile inayotokea Ethiopia ndio inazalisha 85% ya maji ya Nile yanayofika Egypt. Yaani wanaweza kuchimba mtaro na kuudivert mto huo wakati wa kiangazi na itabidi Egypt wakuje kuomba msamaha wakitembea kwa magoti. Yaani ubomb nchi ambayo ina uwezo wa kukunyima maji au hata kuutia sumu? Joto hili jambo sio rahisi kama unavyoichukulia.
 
Tony unanichekesha sana, inaonekana hujapitia kwa undani "International politics and relations". Maji yote na vyanzo vyake ambavyo vinahusisha nchi zaidi ya moja yanalindwa na sheria za UN. Hawawezi kuyachafua au kuyaujumu kwa njia yoyote, Satellite zinafuatilia dunia nzima kuhakikisha kwamba hakuna sheria yoyote ya UN inayokiukwa, atakayekiuka ujue ameikosea dunia nzima lazima atapata adhabu.
 
Back
Top Bottom