Mimi siongei kuhusu transmission lines. Transmission lines ni rahisi kujenga. Mimi naongea kuhusu mradi wenyewe. Huo mradi wa Nyerere hydro itachukua miaka kumi kukamilika, that is, kwa bahati nzuri ikiwa haitakufa kifo cha mende.
Hata ikikamilika itagenerate 2,000 MW na total power generation itakuwa 3,500 MW. Huu mradi ni white elephant kwa sababu demand ya umeme TZ ni 1,500 MW sasa hivi na miaka miwili zijazo itakuwa pengine 1,700 MW. Sasa mradi huu utakapozinduliwa miaka miwili zijazo, TZ itakuwa inagenerate 3,500 MW ilhali nyie mtakuwa mnatumia 1,700 pekee na kupoteza 1,800 MW. Hio ni kutupa pesa. Nchi yenu haina viwanda vya kutosha ili kujustify kujenga hydropower kubwa hivyo. Mtavuja pesa sana. 80% ya hio power haitatumika.