Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ours is U/C! where is ur 110 km U/C?

In Mwanza 3.2 km bridge U/C...

Mkimaliza kujenga dual carriageway ya 110 km, nitawapea heshima. Hio sio barabara la kitoto. Hio ni barabara ya kupewa heshima ila malizeni kwanza ndio musifiwe. Sisi badala ya kujenga 110 km dual carriageway, tumeamua kujenga barabara la ghorofa la kilomita 27. Lakini sitajisifia hadi likamilike.
 
Inawezekana ikawa ni kweli kwamba mna highway ndefu kutuzd lkn hata kwetu highway ipo na inaongezwa urefu nadhani hapo baadae czan kuna nchi ukanda huu itakuwa na highway needing km Tz.
wacha kukenua mwambie alete facts! If we r in BRT phase III and each phase 25 km in average sidhani kama unaweza kuendekeza majigambo ya kijinga! Na kama flyovers hata sie tunazo na za Mzoganzila, Chang'ombe na Uhasibu U/C!
 
Mkimaliza kujenga dual carriageway ya 110 km, nitawapea heshima. Hio sio barabara la kitoto. Hio ni barabara ya kupewa heshima ila malizeni kwanza ndio musifiwe. Sisi badala ya kujenga 110 km dual carriageway, tumeamua kujenga barabara la ghorofa la kilomita 27. Lakini sitajisifia hadi likamilike.
Si ni km cc tunavyopanga kujenga elevated MRT hatutajisifu mpk ikianza na kukamilika hyo ndiyo kawaida yetu.
 
Mkimaliza kujenga dual carriageway ya 110 km, nitawapea heshima. Hio sio barabara la kitoto. Hio ni barabara ya kupewa heshima ila malizeni kwanza ndio musifiwe. Sisi badala ya kujenga 110 km dual carriageway, tumeamua kujenga barabara la ghorofa la kilomita 27. Lakini sitajisifia hadi likamilike.
miradi ipo kuna upcoming BRT phase IV, V and VI pia na hatujisfiii!
 
wacha kukenua mwambie alete facts! If we r in BRT phase III and each phase 25 km in average sidhani kama unaweza kuendekeza majigambo ya kijinga! Na kama flyovers hata sie tunazo na za Mzoganzila, Chang'ombe na Uhasibu U/C!
Mkuu kwenye flyovers zikimalizika zote czan km kunyaland itaongea na flyover zao old school.
 
Which highways? If u mean this chinese first class,

where maji ya Bomba lililopasuka yamesomba "chinese first class" super highway !

then no Tanzanian can argue u

Mzee either uamue tudebate in a mature manner ama debate iishe. Nimetaja barabara zaidi ya tano ambazo ni dual carriageway. Wewe unazidi kupost hii barabara moja. You are not a very serious person. Uko na utoto.
 
In Dar we have loads of them! almost all main roads r at least 6 lanes (including BRT at the center)! wacha majigambo ya kijinga aisee!
 
Mzee either uamue tudebate in a mature manner ama debate iishe. Nimetaja barabara zaidi ya tano ambazo ni dual carriageway. Wewe unazidi kupost hii barabara moja. You are not a very serious person. Uko na utoto.
Tony wacha maneno weka picha tuone cz kutaja hata mm naeza taja utabishaje wkt Tz huijui? Weka picha mkuu.
 
Inawezekana ikawa ni kweli kwamba mna highway ndefu kutuzd lkn hata kwetu highway ipo na inaongezwa urefu nadhani hapo baadae czan kuna nchi ukanda huu itakuwa na highway ndefu km Tz.
Pengine 2022 tukipata rais mjinga kama Moi ambaye hakujenga barabara sana ndio mtatupita. Sanasana nazingatia upana wa barabara.
 
wacha kukenua mwambie alete facts! If we r in BRT phase III and each phase 25 km in average sidhani kama unaweza kuendekeza majigambo ya kijinga! Na kama flyovers hata sie tunazo na za Mzoganzila, Chang'ombe na Uhasibu U/C!
Kwanza mambo ya flyover usianze maana hapo ni wazi tunazo nyingi na ndefu kuwashinda.
 
wacha kukenua mwambie alete facts! If we r in BRT phase III and each phase 25 km in average sidhani kama unaweza kuendekeza majigambo ya kijinga! Na kama flyovers hata sie tunazo na za Mzoganzila, Chang'ombe na Uhasibu U/C!
Ndio hii bonge la expressway (barabara la ghorofa) km 27
Limeshaanza kuchomoza

Eig7mDLXsAAn577.jpeg
 
Pengine 2022 tukipata rais mjinga kama Moi ambaye hakujenga barabara sana ndio mtatupita. Sanasana nazingatia upana wa barabara.
Hebu angalia hii barabara imejengwa juzi tu hapa angalia af niambie unaonaje roads za Tz

Ndio hii bonge la expressway (barabara la ghorofa) km 27
Limeshaanza kuchomoza

View attachment 1579629
Hii barabara serikali yako wameijenga kutokana na presha ya wananchi kumuona rais wenu anazingua wanapomfananisha na Magu, km cvyo wala asingelikubali kuingia gharama za wachina kuwakalia kwa almost 27yrs mkilipa toll fees.

Poleni sana Wakenya mmeanza kupanic na kufanya miradi icyo tija huku mkiumiza wananchi.
 
Back
Top Bottom