Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
90km ya 8 lanes? Wacha uongokimara kibaha hio ni phase ya kwanza inakuja phase ya pili mpaka chalinze jumla itakua 90kms
90km ya 8 lanes? Wacha uongokimara kibaha hio ni phase ya kwanza inakuja phase ya pili mpaka chalinze jumla itakua 90kms
Joto umetazama video hii? Nataka kujua maoni yako. Ni mradi mzuri au mbaya?Wazee wa misifaa![]()
105k mpk Chalinze..kimara kibaha hio ni phase ya kwanza inakuja phase ya pili mpaka chalinze jumla itakua 90kms
na uhuru ndio mwerevu😂😂👇👇Pengine 2022 tukipata rais mjinga kama Moi ambaye hakujenga barabara sana ndio mtatupita. Sanasana nazingatia upana wa barabara.
Sasa kama tunajenga Hydroelectric dam ambayo is the cheapest source of electricity, sasa hizo expensive sources zina umuhimu gani?.Wacha nikupe mradi ambao upo Kenya ila haupo Tanzania. Tuna mradi wa wind power ambao inagenerate 310 MW. Hii ndio the biggest windpower project in Africa. Ilizinduliwa mwaka wa 2018 na iligharimu pesa za Kitanzania trilioni moja nukta tatu yaani Tsh 1.3 Trilion.
Pili tuna mradi wa kugenerate geothermal power. Kenya inaviwanda vinavyozalisha karibu 800MW kwa kutumia Geothermal. Kenya ni nchi ya nane duniani kwa kuzalisha umeme kwa kutumia Geothermal. Nyie hamna viwanda vya kuzalisha umeme vya Geothermal na pia hamna viwanda vya kuzalisha umeme kutumia upepo ambavyo vina ukubwa kama wa Kenya


Vipi mnashindwa kulipa mishahara kwa zaidi ya miezi kumi?90km ya 8 lanes? Wacha uongo
sasa unabisha nn ebana mwenye ilani amletee huyu kunguni90km ya 8 lanes? Wacha uongo
Windpower ndio private investors wanajenga ila Geothermal power ni serikali ya Kenya kupitia KenGen ndio inayosimamia ujenzi wa Geothermal power projects zote.Sasa kama tunajenga Hydroelectric dam ambayo is the cheapest source of electricity, sasa hizo expensive sources zina umuhimu gani?.
Pili hao wanaojenga hizo zote ni private companies sio GoK, umeme utakua ghali sana, hautokua na manufaa kwa wananchi.
Kusanya hiyo miradi yenu yote haifikishi hata nusu ya umeme tutakaozalisha kutoka katika bwawa tunalojenga.
Sisi tunazakisha umeme toka kwenye vyanzo vya gesi ambavyo ninyi Hanna![]()
Vipi mnashindwa kulipa mishahara kwa zaidi ya miezi kumi?
Endeleeni kujipiga kifua ila nachojua ni kuwa barabara ya 100 km ya leni nane halitawahi kuja kujengwa Afrika Mashariki kwa miaka thelathini zijazo. Hatuna magari ya kutosha ya kujustify such heavy investments.105k mpk Chalinze..
Halafu mpaka Kibaha tayari ni km 40.. na ukipita naona miti ishaanza kukatwa kutoka TAMCO kwenda mlandizi...
Barabara ya zaramo connect ..toka Bagamoyo-Mlandizi-Ruvu Station mpaka Kisarawe yaja.. Mbwawa, Visiga, Zegereni, Zogowali, Soga Station. To start soon.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
90km ya 8 lanes? Wacha uongo
Bado hujapita Morogoro road. Chalinze dar inakusanya Korido za Mombasa-Tanga,Segera. , Taveta-holili - Himo, Namanga-Arusha-Moshi-Himo-Segera-ChalinzeEndeleeni kujipiga kifua ila nachojua ni kuwa barabara ya 100 km ya leni nane halitawahi kuja kujengwa Afrika Mashariki kwa miaka thelathini zijazo. Hatuna magari ya kutosha ya kujustify such heavy investments.
Tuweze kujenga SGR tushindwe barabara? Hv unajiskia lakinEndeleeni kujipiga kifua ila nachojua ni kuwa barabara ya 100 km ya leni nane halitawahi kuja kujengwa Afrika Mashariki kwa miaka thelathini zijazo. Hatuna magari ya kutosha ya kujustify such heavy investments.
Tazama road quality




Unasema hatuna viwanda vyenye geothermal na wind power kuwazd lkn vipo ss hyo ndiyo tofauti mkuu kwmb miradi yenu yote mnayofanya Tz ipo ila kuna miradi inafanyika Tz but kenya haipo.Wacha nikupe mradi ambao upo Kenya ila haupo Tanzania. Tuna mradi wa wind power ambao inagenerate 310 MW. Hii ndio the biggest windpower project in Africa. Ilizinduliwa mwaka wa 2018 na iligharimu pesa za Kitanzania trilioni moja nukta tatu yaani Tsh 1.3 Trilion.
Pili tuna mradi wa kugenerate geothermal power. Kenya inaviwanda vinavyozalisha karibu 800MW kwa kutumia Geothermal. Kenya ni nchi ya nane duniani kwa kuzalisha umeme kwa kutumia Geothermal. Nyie hamna viwanda vya kuzalisha umeme vya Geothermal na pia hamna viwanda vya kuzalisha umeme kutumia upepo ambavyo vina ukubwa kama wa Kenya
Kwanini hawajalipwa kwa miezi kumi iliyopita wakati mgogoro wa senators ni miezi mitatu nyuma?Leo tuko kwenye masuala ya barabara. Seneti imeshapitisha bajeti na rais ataitia saini. Hao watu watalipwa hivi karibuni.