Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Mzee Kibaha ndio barabara pekee Tanzania ambayo imekaribia hadhi la Thika road. Leni nane za Kibaha ni za kupewa heshima ila hamna barabara lingine lenye leni nane huko TZ. Hio Dodoma ring road ina leni ngapi?
An equivalent of Kigoma port slipway

