Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angle
Matata sana hii, Ntakuja kufanya mambo next time with a DSLR .

IMG_1774.jpg

IMG_1773.jpg
 
maji ya Bomba lililopasuka yamesomba "chinese first class" super highway !

Huwa najiuliza mpk kesho na sipati jibu, hivi Wakenya walitumia vigezo gani kusema wako mbele ya Tz kwa miundombinu mbn uchafu wa miundombinu uliojaa Nairobi siuoni Dar?

Ndo mana nasisitiza wakuu tuanze ku publish upya kunako mitandaoni cz Wakenya washakubali kwamba walikuwa wanajidanganya ss umefika muda mambo yawe hadharani ili foreigners hususan wazungu waondokane na ile dhana eti Kenya ni the most developed country in the region, huu ni uongo sn.

Tanzania is now more developed country than Kenya ktk mambo mengi na wenyewe Wakenya wameshakubali si mnaona hata Wakenya wa humu Jf cku hz wanakimbia nyuzi kwa kisingizio eti tunajisifia utoto lkn Wakenya hao hao utawakuta wamejazana kwenye nyuzi zinazoonesha kuwasifia japo kdg
 
Halafu sehemu zingine kwenye hiyo barabara hakuna mifereji yaani wanajenga ili mradi tu imejengwa
Kenya ni nchi ya kihuni sn ckutegemea kabisa mana story nilizokuwa naaminishwa kipindi niko mdg eti kenya ni nchi iliyoendelea kuliko nchi zote EA kuja kucheki kumbe ni kwasababu ya GDP but on ground nkakuta vitu ni different
 
Yaani ukiwa huwajui watakudanganga kinoma,

Na ukiangalia hiyo barabara vizuri hizo sehemu kwa pembeni zilizo pata nyufa utaona wamemimina zege ya cement iliyokorogwa utadhani walikuwa wanajenga msingi
 
Yaani ukiwa huwajui watakudanganga kinoma,

Na ukiangalia hiyo barabara vizuri hizo sehemu kwa pembeni zilizo pata nyufa utaona wamemimina zege ya cement iliyokorogwa utadhani walikuwa wanajenga msingi
Kuna mmoja kaniandikia inbobo ananitukana eti anadai wamesusa! Wako mgomo baridi nimewagonga vitasa vya kufa mtu, wamechukia! 👆 😀😀😀👆
 
Back
Top Bottom