Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni nchi ya kihuni sn ckutegemea kabisa mana story nilizokuwa naaminishwa kipindi niko mdg eti kenya ni nchi iliyoendelea kuliko nchi zote EA kuja kucheki kumbe ni kwasababu ya GDP but on ground nkakuta vitu ni different
Tuambiane Ukweli, Kenya ina miundo mbinu nzuri kushinda nchi yoyote Afrika Mashariki. Hakuna haja ya kupingana na ukweli. Mlazy anayepinga basi aweke ushahidi ni kwa nini anadhani Tanzania imeishinda Kenya kwenye miundo mbinu au maendeleo kwa ujumla.
 
MY TAKE
Nimependa hii idea esp. patakapokuwa na link (bridge/tunnel) kati ya Magogoni na Kigamboni creek.

Hii marathon tayari tunajua ni Wakenya ndio watashinda kuanzia nambari moja hadi ishirini. Mlazy wa kwanza atakuwa nambari mia moja.
 
Tuambiane Ukweli, Kenya ina miundo mbinu nzuri kushinda nchi yoyote Afrika Mashariki. Hakuna haja ya kupingana na ukweli. Mlazy anayepinga basi aweke ushahidi ni kwa nini anadhani Tanzania imeishinda Kenya kwenye miundo mbinu au maendeleo kwa ujumla.
Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni mtazamo na "definition" ya maendeleo na miundombinu. Tanzania mtazamo wetu katika maisha ni kumlenga mwananchi wa Chini kabisa, wakati Kenya inawalenga matajiri na wasomi.

Wakati Tanzania tunatoa kipaumbele kujenga barabara zinazounganisha wilaya kwa wilaya, Kenya kipaumbele ni barabara za mijini, Tanzania tunasambaza maji hadi vijijini, Kenya kipaumbele ni mijini, Tanzanians tunaweka nguvu nyingi katika Hospitali za Wilaya na vituo vya Afya vijijini, Kenya ni County level Hospitals na National.
 
Asante kwa kukubali kuwa Kenya ina miundo mbinu hatari kwenye miji yetu.
 
Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni mtazamo na "definition" ya maendeleo na miundombinu. Tanzania mtazamo wetu katika maisha ni kumlenga mwananchi wa Chini kabisa, wakati Kenya inawalenga matajiri na wasomi.

Wakati Tanzania tunatoa kipaumbele kujenga barabara zinazounganisha wilaya kwa wilaya, Kenya kipaumbele ni barabara za mijini, Tanzania tunasambaza maji hadi vijijini, Kenya kipaumbele ni mijini, Tanzanians tunaweka nguvu nyingi katika Hospitali za Wilaya na vituo vya Afya vijijini, Kenya ni County level Hospitals na National.
Mzee una ufahamu kuwa Kenya inajenga barabara ya kufa mtu sasa hivi tunavyozungumza? Barabara ambayo ni aina yake Afrika nzima? Barabara ambayo inapatikana US, Germany au Japan lakini sio Afrika? Unafahamu hilo? Barabara linaitwa Nairobi expressway. Bonge la barabara.
 
Your entire city will be six feet under too.
Our entire city? 😂😂😂😂 So what you are saying is in the next fifty years there will be so much water that the whole of Dar es Salaam will be submerged? Hii ni sea level increase au Tsunami? 😂😂 Kwakweli utasubiri sana! The rate at which sea levels increase is not as rapid as you present it. Besides, Dar has been building sea walls to address this issue.
 
Kwani wewe chamoto hujui kuwa Geza Ulole anapenda Kenya? Hio "wow" yake inaashiria kuwa Geza hajapendezwa na matamshi ya rais Magufuli. Geza hangependa kuona machafuko yakiyokea Kenya. Kenya ikipotea atakosa nchi ya kuchokoza
haswaa...sasa nitamchokora nani? pata picha mapanga yamekolea kule kwenu schwaschwa nyumbu wetu wakija huko hawarudi ni kitowewo!
 
Tuambiane Ukweli, Kenya ina miundo mbinu nzuri kushinda nchi yoyote Afrika Mashariki. Hakuna haja ya kupingana na ukweli. Mlazy anayepinga basi aweke ushahidi ni kwa nini anadhani Tanzania imeishinda Kenya kwenye miundo mbinu au maendeleo kwa ujumla.
Iko hv hakuna infrastructure ipo kenya zen Tz haipo ila kuna infrastructure zipo Tz kenya hamna unakubali unakataa.
 
Back
Top Bottom