Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mafalamanga yanang'ang'ana na Kikuyu baada ya Ngugi kutoa speech kwa kilugha huko Catalunya jimbo linalotaka kujitenga huko Uhispaniia!
Yaani mkuu,huko kwao mtu amabaye anaongea lugha ya kikuyu,anahesabika kuwa wa daraja la Kwanza.makabila mengine yanadharaulika Sana huko kwao,nilipokuwa kule,nilishangaa inafikia hatua mtu anakana kabila lake,anajiita mkikuyu.hivyo kilichofanywa na Ngugi huko Catalonia,sishangai kabisa maana wakikuyu ndio wenye haki huko Kenya.
Kiswahili kinasambaa kwa kasi,miaka inayokuja,Tanzania itakuwa na powerful influence kwenye haya mataifa ambayo yameanza kukubali kiswahili.kama inavyojulikana lugha ni moja ya powerful instrument of influence,naamini,haya mataifa ya kiafrika,itafikia hatua watadharau lugha ya wazungu na kukienzi kiswahili.
K
 
Wazanzibar wengi -waswahili ni machanganiko wa warabu na wafrica. Waongeya kiswahili na hudumu swahili lakini hawafahamu mswahili watoka wapi.

 
ndiyo maana kwenye huu uzi huwa nasemaga kuwa tuziache siasa ,sisi tuendelee na harakati zetu ,,,maana kila mtu akisema adili na upande wake kutakukuwa hakutoshi humu uxi yitaharibu. ,,mismko binafsi ya kisiasa ibaki moyoni
Kuna watu wanashindwa kujizuia sometimes...ila haina noma kabisa umesomeka
 
KENYATTA KUACHA DENI LA DOLA BILIONI 8
Deni la kitaifa linatarajiwa kuongezeka na Sh750 bilioni katika miezi 10 ijayo. Hiyo ni Sh2.6 bilioni kwa siku.

Kwa kiwango hiki, wataalam wa bajeti ya bunge wanakadiria kuwa, ifikapo 2022 wakati Rais Uhuru Kenyatta anaondoka ofisini, deni linaweza kugonga Sh9.2 trilioni - zaidi ya mara tatu ya bajeti ya mwaka.

Inakadiriwa deni la kitaifa litaongezeka hadi Sh7.5 trilioni ifikapo Juni mwakani, kutoka Sh6.6 trilioni hii Juni, kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Ofisi ya Bunge ya Bajeti PBO.

PBO inaashiria kuongezeka kwa athari ya uzalishaji mdogo wa mapato ya ndani kwa sababu ya usumbufu kwa biashara na Covid-19 na shinikizo kutoka kwa matumizi ya programu zinazoendelea

My Take: Huyu Rais au shipa

Kenyatta kuacha deni la dola bilioni 8
 
So long, Southsea: last sultan of Zanzibar quits UK after 56 years in exile
Deposed royal who fled to UK after 1964 revolution finally reunited with family in Oman
Harriet Sherwood
@harrietsherwood
Sun 20 Sep 2020 07.25 BSTLast modified on Sun 20 Sep 2020 11.53 BST



The short reign of Jamshid bin Abdullah al-Said came to an end in January 1964 when he was overthrown in the Zanzibar revolution.
The short reign of Jamshid bin Abdullah al-Said came to an end in January 1964 when he was overthrown in the Zanzibar revolution. Photograph: CPA Media/Alamy

After more than half a century of living in Southsea, Portsmouth, with its unpredictable British weather, shingle beaches and Victorian pier, relocation to the Gulf state of Oman might take some adjustment.

But for Jamshid bin Abdullah al-Said the 91-year-old last sultan of Zanzibar, it was the next best thing to going home.

The man who ruled the tiny Indian Ocean archipelago until he was deposed in a bloody revolt in January 1964 finally arrived in Muscat last week. Multiple earlier requests from the sultan to be allowed to live in the Gulf state had been rejected by the government on security grounds.

But now his request to retire in Oman was granted due to his age, a family member in Muscat told the Abu Dhabi-based the National. “He always wanted to spend his last days in the country of his ancestors and now he is happy he can do that.” A government official declined to comment.

Abdullah al-Said is distantly related to the present sultan of Oman, Haitham bin Tariq al-Said, with whom he shares the same lineage of royalty.

The ex-sultan’s long and unlikely journey from the palm-fringed islands of Zanzibar via the crazy golf courses and amusement parks of Southsea to Muscat came after his short-lived reign ended in revolution.

He became sultan of Zanzibar after the death of his father in July 1963. In December that year, the islands – 22 miles off the coast of Tanzania – were granted independence from Britain. Just one month later the sultan was deposed in an insurrection, and a republic was proclaimed.

After he was deposed, the sultan of Zanzibar was forced to swap the palm-fringed shores of his homeland for the shingle beach and Victorian pier of Southsea.
FacebookTwitterPinterest
After he was deposed, the sultan of Zanzibar was forced to swap the palm-fringed shores of his homeland for the shingle beach and Victorian pier of Southsea. Photograph: Luke MacGregor/Alamy

He fled Zanzibar on the royal yacht as his palace was seized by rebels. After being refused permission to settle in Oman, he flew to Britain with an entourage of 61 relatives, friends and household staff.

Two weeks later, the New York Times reported that the sultan’s impecunious state obliged him to move “from his pillared London hotel in the shadow of Buckingham palace to a modest hotel in Bayswater on the unfashionable side of Hyde Park”.

In May 1964, the British government made a payment of £100,000 to the former sultan, the paper reported.

The sum allowed him to settle in a semi-detached house on a quiet street in Southsea, Hampshire, where the contrast with Zanzibar’s white powder beaches and crystal waters must have been striking and perhaps a little painful.

Over the 56 years he lived in the UK seaside resort, the sultan drew little attention. Ned Donovan, a writer who has followed the sultan’s story, said: “I couldn’t find anyone locally who knew he was there. He never spoke to the press, he just went very low key.”

These days, the 1.3 million mainly Muslim population of Zanzibar, now a semi-autonomous region of Tanzania, is ruled by President Ali Mohamed Shein.

Human rights organisations have criticised the state’s criminalisation of gay men, who face up to 25 years in prison. A recently opened museum dedicated to Queen singer Freddie Mercury, who died from an Aids-related illness in 1991, glosses over the star’s sexuality.

Mercury, whose real name was Farrokh Bulsara, was born in Stone Town, the historic quarter of Zanzibar’s capital, but his family moved to the UK in the aftermath of the 1964 revolution.

In the years that followed, thousands of Zanzibar citizens relocated to Oman – including the former sultan’s seven children and two of his siblings. Abdullah, although banned from ever returning to Zanzibar, is at least now reunited with his immediate family.

So long, Southsea: last sultan of Zanzibar quits UK after 56 years in exile
Story ya huyu sultan kwa ujumla huwa inanisikitisha sana. Ila ndo maisha tu!
 
Look this
Screenshot_20200924-102204.jpg
 
KENYATTA KUACHA DENI LA DOLA BILIONI 8
Deni la kitaifa linatarajiwa kuongezeka na Sh750 bilioni katika miezi 10 ijayo. Hiyo ni Sh2.6 bilioni kwa siku.

Kwa kiwango hiki, wataalam wa bajeti ya bunge wanakadiria kuwa, ifikapo 2022 wakati Rais Uhuru Kenyatta anaondoka ofisini, deni linaweza kugonga Sh9.2 trilioni - zaidi ya mara tatu ya bajeti ya mwaka.

Inakadiriwa deni la kitaifa litaongezeka hadi Sh7.5 trilioni ifikapo Juni mwakani, kutoka Sh6.6 trilioni hii Juni, kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Ofisi ya Bunge ya Bajeti PBO.

PBO inaashiria kuongezeka kwa athari ya uzalishaji mdogo wa mapato ya ndani kwa sababu ya usumbufu kwa biashara na Covid-19 na shinikizo kutoka kwa matumizi ya programu zinazoendelea

My Take: Huyu Rais au shipa

Kenyatta kuacha deni la dola bilioni 8

Hehehe,ndo huyu hapa!👇👇
FB_IMG_1598085643882.jpg
 
Back
Top Bottom